Mpaka alikuwa analia kwamba ccm walikuwa wanawatuhumu kwamba wanaliwa na viongozi wa chadema.Huenda sasa akasema ilikuwa kweli maana njaa mbaya.
Upendo Peneza ana dalili zote za mtu mwenye mfadhaiko wa akili,Upendo yule aliyekuwa mjenga hoja mzuri bungeni Upendo aliyekuwa uwezo mkubwa wa kujieleza na kushawishi leo hii amekuwa mtu wa kusahau hata neno alilosema jana yake. Nafikiri aliahidiwa mambo makubwa naye akaamini akaanza kujenga gorofa hewani sasa kang'amua kuwa alipangwa tu ndiyo amefikia kutoa kauli za kutatanisha. Asaidiwe ushauri nasaha.Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!
🤣 🤣 🤣Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!
🤣 🤣 🤣Tangu lini mkurya muhuni kama wewe unaweza kumpata
mke?
Labda naye awe kichaa kama wewe ndiyo mtawezana
🤣 🤣 🤣Mpaka alikuwa analia kwamba ccm walikuwa wanawatuhumu kwamba wanaliwa na viongozi wa chadema.Huenda sasa akasema ilikuwa kweli maana njaa mbaya.
🤣 🤣 🤣Chukua yule alikuwa Mbunge wa Kawe awe mke utanishukuru baadae
✍️📝👍👌👏🤝🙏Upendo Peneza ana dalili zote za mtu mwenye mfadhaiko wa akili,Upendo yule aliyekuwa mjenga hoja mzuri bungeni Upendo aliyekuwa uwezo mkubwa wa kujieleza na kushawishi leo hii amekuwa mtu wa kusahau hata neno alilosema jana yake. Nafikiri aliahidiwa mambo makubwa naye akaamini akaanza kujenga gorofa hewani sasa kang'amua kuwa alipangwa tu ndiyo amefikia kutoa kauli za kutatanisha. Asaidiwe ushauri nasaha.
🤣🤣🤣 yaan Bi kidudeChukua yule alikuwa Mbunge wa Kawe awe mke utanishukuru baadae
Njaa wewe yako huioni!Nakuunga mkono ndugu yangu Peneza amekuwa mtembeza tumbo huku akiwa amebeba kapu la kashifa Kwa viongozi wa CDM utadhani wakati yupo CDM kilikuwa na viongozi wengine tofauti na waliopo sasa.
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!
Njaaa!! Ameona muda unapita tu bila kupata uteuzi, ngoja aibuke, na nchi hii ilivyo ya ajabu(channel ya comedy) huko mbinguni usishangae mala paaa, mkuu wa wilayaHuyu mbuzi nilikuaga namuona wa maana ila tangu ahamie ccm amekua kondoo kabisa
Mimi nitapataje njaa wakati nipo shambani nalima? Sitegemei hisani ya mtu ila kulaNjaa wewe yako huioni!
Hivi ni covid 19 inachukua uhamisho wa kudumu ama ni mafua ya kawaida 😁Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!
Huo ni mwanzo tuu, utayasikia mengi mwaka huu.
Jiandae kisaikolojia.
Hv ukiingia CCM, una kuwa kichaa, unaanza kuwaza kama, mpuuzi, badala, ya, kutumia ubongo, unatumia makalio?Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!
Unauliza Maiti Mochwari?Hv ukiingia CCM, una kuwa kichaa, unaanza kuwaza kama, mpuuzi, badala, ya, kutumia ubongo, unatumia makalio?