Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

Hizi ulizoandika hapa wewe ndio propaganda
 
Wakuu mimi pia nimevutiwa kujua inakuwaje timu hazishuki daraja huko USA wanaendeshaje ligi yao? Mwenye kujua anipe elimu kidogo

League ya america MLS inachezwa kwa kikanda km wanavyocheza Mpira wa kikapu
Kuna East Conference na West Conference kila kanda ina timu 14

Mshindi Kwa kwanza Kwa Kila conference anaenda Moja Kwa moja kwenye robo fainali

Wakati kuanzia namba 2 Hadi 7 Hawa wanacheza playoffs ili kwenda kuungana na washindi Kwa kwanza wa East Conference na West Conference baadae anakuja kupatikana mshindi mmoja ndo anakuwa bingwa wa MLS

Hii ligi Hamna kushuka daraja hii timu ya Messi ipo Eastern Conference
 
Timu huweza kupandishwa kutokana na kupigiwa kura na wamiliki wa vilabu wenza kutokana na hali ya uchumi wake lkn ni mara chache

Lkn pia timu huweza kuondolewa mls kutokana na kufilisika
Wakuu mimi pia nimevutiwa kujua inakuwaje timu hazishuki daraja huko USA wanaendeshaje ligi yao? Mwenye kujua anipe elimu kidogo
 
Ni kama CR7 alivyorudi Manchester na alivyoondika,bila shaka anajuta kwanini alirudi coz kuondoka kwake haikua kwa amani kati yake na kocha wake hapo Trafford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…