Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

Bora amekataa fedha chafu za uarabuni. Mwarabu anakuchukua sio lengo la mpira Bali kuitangaza dini yake na kutengeneza propaganda dhidi ya Ukristu. Wakifika huko wanawalazimisha kufuata Mila zao ikiwepo kuvaa makanzu, watawatumia kwenye matangazo mbalimbali na kutengeneza propaganda kuwa wameslimu. Ronaldo anaonja joto ya jiwe huko
Hizi ulizoandika hapa wewe ndio propaganda
 
Wakuu mimi pia nimevutiwa kujua inakuwaje timu hazishuki daraja huko USA wanaendeshaje ligi yao? Mwenye kujua anipe elimu kidogo

League ya america MLS inachezwa kwa kikanda km wanavyocheza Mpira wa kikapu
Kuna East Conference na West Conference kila kanda ina timu 14

Mshindi Kwa kwanza Kwa Kila conference anaenda Moja Kwa moja kwenye robo fainali

Wakati kuanzia namba 2 Hadi 7 Hawa wanacheza playoffs ili kwenda kuungana na washindi Kwa kwanza wa East Conference na West Conference baadae anakuja kupatikana mshindi mmoja ndo anakuwa bingwa wa MLS

Hii ligi Hamna kushuka daraja hii timu ya Messi ipo Eastern Conference
 
Timu huweza kupandishwa kutokana na kupigiwa kura na wamiliki wa vilabu wenza kutokana na hali ya uchumi wake lkn ni mara chache

Lkn pia timu huweza kuondolewa mls kutokana na kufilisika
Wakuu mimi pia nimevutiwa kujua inakuwaje timu hazishuki daraja huko USA wanaendeshaje ligi yao? Mwenye kujua anipe elimu kidogo
 
Mosi, Messi kashashinda kila kitu, hivyo kurudi kwake kama mvhezaji Barca isingekuwa challenge mpya...

Pili, experience yake ya mwisho na Barca haikuwa nzuri na hiyo imempelekea kuwatosa kirahisi...

Tatu, namna Barca wanavyocheza kwa sasa na performance yao, ingekuwa ni miyeyusho tu na pengine kufuta mazuri yote aliyokwisha yafanya hapo Barca...
Ni kama CR7 alivyorudi Manchester na alivyoondika,bila shaka anajuta kwanini alirudi coz kuondoka kwake haikua kwa amani kati yake na kocha wake hapo Trafford.
 
Back
Top Bottom