Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Aisee hii Hali ni hatari Kila demu anakuona kama unakimaviAta mimi
Sasa mzee utaanza tu kutoa hela kabla ya maongeziToa helaaa
Nyeto inapunguza mvutonaangamia Kwa nyeto
Inapinguza mvuto wa niniNyeto inapunguza mvuto
Kuna mijitu itakuja kuniwakia 🏃🏃🏃
DuuhHamna namna , zoea tu
Kuna ule uwezo wa ushawishi nyeto inaupunguza sanaInapinguza mvuto wa nini
Itakuwa huna pesaSijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii
Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto