Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Aisee hili litakua Moja ya kosa langu aisee natongoza wa hapa mtaani Kwa asilimia kubwaUnatongoza mtaani kwenu? Kosa kubwa sana ili. Yaani kosa.
Tafuta demu mtaa wa mbali. Sijajua kaa unatongoza for fun au unamaanisha demu wa kuanza nae urafiki na maisha ikiwezekana, na pia sijajua unafuata videmu vya aina gani, na mwisho kuhusu umri wako, muonekano na mazingira unayokutana nao.
But all in all, first impressions matter.