Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii

Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
Bring it on and never give up
 
Ngoja nikupe code mtoa mada kaoge na maji ya bahari kama upo hapo daslama au kama vipi nenda kanunue chumvi then oga na chumvi mwili utakaa sawa na pia gundu litatoka oga kama mwendo wa week hivi adi mwezi huku ukiendelea kujinoa

Cc: secretarybird
Pia wakati akitekekeza unachimwambia asisahau kukwea mnazi kwa kono Moja ilikusudi apunguze manii mwilini kwa sababu zikiwa nyingi zitaleta kasheshe.
 
Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii

Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
Hicho kikwapa na mdomo vinatema balaaa.
Sasa fanya hivi: nunua dawa ya meno ya maana siyo hizi za kichina. Itumie kusafisha meno yako, fizi, ulimi. Kisha sukutua kwa mouth wash H2O2 au Listerine.
Nunua sabuni dove cream bar na uitumie kuogea, uitumie sabuni jamaa kuogea Wala ya UNGA. Piga perfume Kali: Hugo boss, paco rabane au Calvin Klein.
Nunua ndinga kalii: range rover sport or envogue, Mazda CX 5 halafu mfuate huyo demu. Akikutaa una kimqvi
 
Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii

Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
Una nyota ya utajiri
 
Back
Top Bottom