Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali.
Mpunga, shekeli, mshiko, maokoto...

Ukiona hivyo ni kwamba bado huna pesa. Wacha kuhangaikia mbususu, shughulika kujitosheleza kwa pesa kwanza. Ukijipata utashangaa zinakuwa zinakujia kirahisi tu, utachakata hadi uchoke
 
Back
Top Bottom