Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii

Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
Pole sana, wengine tunatongozwa na mademu wazi wazi kabisa hadi kero, lakini pengine mola anakuepusha na majanga.
 
Unatongoza mtaani kwenu? Kosa kubwa sana ili. Yaani kosa.

Tafuta demu mtaa wa mbali. Sijajua kaa unatongoza for fun au unamaanisha demu wa kuanza nae urafiki na maisha ikiwezekana, na pia sijajua unafuata videmu vya aina gani, na mwisho kuhusu umri wako, muonekano na mazingira unayokutana nao.

But all in all, first impressions matter.
😂😂😂😂😂😂
 
Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii

Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
Utakua unanuka mdomo jichunguze vizuri.
 
Mademu ni kama pesa, ukitaka kuwapata kirahisi, weka mtego
Afu siku hizi hatutongozi tena tunatoa tuu idea like "Unonaje w/end hii uje home" kama akiipenda idea yako basi mchezo umeisha
 
Back
Top Bottom