Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Aisee hili litakua Moja ya kosa langu aisee natongoza wa hapa mtaani Kwa asilimia kubwaUnatongoza mtaani kwenu? Kosa kubwa sana ili. Yaani kosa.
Tafuta demu mtaa wa mbali. Sijajua kaa unatongoza for fun au unamaanisha demu wa kuanza nae urafiki na maisha ikiwezekana, na pia sijajua unafuata videmu vya aina gani, na mwisho kuhusu umri wako, muonekano na mazingira unayokutana nao.
But all in all, first impressions matter.
Kivipi?Kuna ule uwezo wa ushawishi nyeto inaupunguza sana
Ndo unacho sasaπ³π³π³ππAisee hii Hali ni hatari Kila demu anakuona kama unakimavi
Ataoaje wanamkataaHapo mbinu ni moja tu
KUOA!!!
Mkuu, umesoma mada kweli?Hapo mbinu ni moja tu
KUOA!!!
Tafuta hela.Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii
Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
πππππππAta mimi
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Aisee hii Hali ni hatari Kila demu anakuona kama unakimavi
Hela ikiwepo haijifichi.Sasa mzee utaanza tu kutoa hela kabla ya maongezi
Atamuoa nani wakati hawamtaki.Hapo mbinu ni moja tu
KUOA!!!
πππππππSingle maza umejaribu? Wajane na wanawake wazee wenye matatizo mbalimbali umewajaribu?..hao wakikukataa huna msaada hapa duniani
πππππππβοΈaseee bongo siami mieSingle maza umejaribu? Wajane na wanawake wazee wenye matatizo mbalimbali umewajaribu?..hao wakikukataa huna msaada hapa duniani
Unaoaje kila mtu anakukataaHapo mbinu ni moja tu
KUOA!!!
Wakati unatongoza demu, epuka kutumia hilo neno ' aisee' labda ndo maana wanakumwaga.Wanakuona miyeyusho/ hauko serious.Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii
Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama ninagundu naombeni mbinu wakuu naangamia Kwa nyeto
Sa mmojawapo hapo akitoa ushirikiano vizuri jamaa akanogewa na huduma atatangaza ndoa.Hamna muoaji hapo,anataka pakutolea upwiru mabinti wamemshtukia!