Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

Mpenda Misifa huyo.
Kaandika Gazeti kubwa anajisifia tu. Hamna ushahidi wa anachokisema.
Nyota yangu Kali ( Natural Charm ) inawatesa na itawateseni mno Waswahili na Wendawazimu baadhi Wakiongozwa nawe hapa Jamvini.
 
Kama imekuuma, achana na hiyo timu. Kwani umelazimishwa?! Hamia isiyohonga. Mtibwa Manungu anafungwa hadi na wachovu. Taifa na Simba kafungwa tano bila. Hizo tatu za jana ni chache sana. Ilitakiwa zifike hata sita, ili kelele zipasue makoo yenu!
 
You're still very young and incompetent to compete with me in Sports News, Analysis and Whistleblowing okay?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Back
Top Bottom