Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

Chadema wamefanya siasa. Kumkamata Lissu na kumuweka ndani sio kumkomoa, ni kufanya Chadema wapata "public sympathy" na ndio siasa ya chama cha upinzani.

The world sympathises with Lissu and Chadema right now. Siasa imefanyika
Uzuri amepanda Mahakamani akiwa amevaa NO REFORMS NO ELECTION.
 
Uzuri amepanda Mahakamani akiwa amevaa NO REFORMS NO ELECTION.

Wao wanafikiri wanamkomoa Lissu na Chadema. Lakini Chadema imefanya siasa jana, imegonga vichwa vya habari.

Na wao Chadema, wanajitahidi kuonyesha wanaonewa, hii ni play card nzuri kwao kisiasa. 😁

Jana kulikuwa ma stori nyingi, kama kawaida ya Jumatatu. Lakini kubwa ni ya Chadema mahakamani.
 
Unajidanganya, bado huelewi thamani ya amani na utulivu na gharama za kuilinda, yule kichaa ataozea ndani kama Mandela
Kweli wewe hamnazo kabisa, hivi Mandela aliozea ndani?

Mimi nachojua alikuwa huru baadae akawa Rais wa kwanza mzalendo wa S. Africa. Au wewe ni mtoto bado unavaa nepi ? Acha kujikojolea basi
 
Kazi ya mahakama sio kusikiliza wajinga kama wewe wenye mawazo ya wanawake chumbani.

Yupo mahakamani na mahakama ndio ina kesi yake wala sio kesi ya kuwaza hapa yani unafikiri mahakama inapokea nini tena kilicholetwa pale kwenye kesi.

CCM muwe mnakazwa vizuri ili muje na mada za akili
 
Sure. Haya mambo yanataka AKILI kwa wingi nguvu kiduchu😄
 
Weka akilini kuwa atatoka tu.
Kinachowatesa sshv ni aibuuu
 
Lissu almost alishakufa 2017 pale Dodoma,wewe baki na woga wako na uishi milele amina.
 
Watu nao mtetea samia mnamponza kama nilivyo sema kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie kuongoza na kumshabikia ndivyo ulivyo wewe ...ungekuwa na akili ungeona anguko baya na la aibu la huyo Mama na ccm yake lililo dhahili.
 
Mjuba hii ni kesi ya kisiasa elewa hivyo. Kutoka anaweza kutoka haraka kama mtawala akiamua kumtoa
 
Mahakama za Tanzania zipo huru kuliko za Kenya?Banana Azizi alisemaje hivi?
Mahakama za Tanzania zipo huru. Kama commercial activists walidhani wanaweza kuziendesha kama wafanyavyo Kenya hilo haliwezekani. Wanaowatuma wajitafakari upya. Tanzania ni huru. Haita amuliwa masuala yake na taifa lolote.
 
Mahakama za Tanzania zipo huru kuliko za Kenya?Bwana Azizi alisemaje hivi
Mahakama za Tanzania zipo huru. Kama commercial activists walidhani wanaweza kuziendesha kama wafanyavyo Kenya hilo haliwezekani. Wanaowatuma wajitafakari upya. Tanzania ni huru. Haita amuliwa masuala yake na taifa lolote.
 
Akaemo mpaka mwakani Julai kwa kuwa anataka kujua nani mshindi
 
Hata msipomuachia Lissu mnajichosha bure
Kipo chuma cha moto John Heche
Huyu sasa ni kiboko yenu.
 
Mkuu kwa mjibu wa Sheria nini maana ya kukinukisha?
Harafu anaiasije serikali wakati yeye ni raia wa kawaida?
Naomba kujua.
Fuatilia kesi ya Marehemu Seif Sharif na kwa nini aliachiwa , hapo utaiona hatali iliopo kwa ndugu yetu Lisu.
Weweh wacha hilo kukinukisha kuna neno au maneno alitumia hayo ndio palipo na uhatari ,hilo kukinukisha ni jepesi sana.
 
Weka link hapa
 
Kesi haina mashiko hata mwanafunzi wa LLB mwaka wa kwanza anaiamua hii kesi akipewa mamlaka.

Tunachosha magari na rasilimali za hili taifa HIZI PESA ZA KESI YA LISSU ZINAZO TUMIKA NI MATUMIZI MABAYA YA KODI ZETU BORA ZINGE ENDA KUONGEZA DRIPU PALE WODINI MWAISELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…