Fredy_Munissi
New Member
- May 9, 2025
- 2
- 0
๐๐๐๐๐๐Ninachojuwa Kuna mtu atakufa muda sio mrefu
๐๐๐๐๐๐Ninachojuwa Kuna mtu atakufa muda sio mrefu
Kama kawaida nikamuuliza AI swali lako (uasi ndiyo uhaini?)na majibu ni haya:Hv Uasi ndio uhaini?
Subiri uoneLabla utoke ww
Unachekesha kama sio kuhudhunisha!Unajidanganya, bado huelewi thamani ya amani na utulivu na gharama za kuilinda, yule kichaa ataozea ndani kama Mandela
Huoni kama Lisu anatendewa kama alivotendewa Mandela na makaburu???Hakunaga kesi ndogo mrembo Bulamba hata ukijinyea kwa makusudi barabarani hiyo nayo ni kesi kubwa.
kwa hiyo, acha upotoshaji kwani mabango yote kuwa usikojoe hapa hauyaona ?
sawa nimekuelewa Mis Bulamba, ila ili yasiwe na mashiko basi uache kujinyea sasa.Huoni kama Lisu anatendewa kama alivotendewa Mandela na makaburu???
Haya ya kujinyea hayana mashiko
amenNinachojuwa Kuna mtu atakufa muda sio mrefu
kwa hiyo wewe umeacha kunywa mavi?sawa nimekuelewa Mis Bulamba, ila ili yasiwe na mashiko basi uache kujinyea sasa.
Idd Amin Mama ameyatafuta, na atayapataManeno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.
Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.
Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.
Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.
Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
ccm ya sasa imejaa vitendo haramu vya kishetaniIdd Amin Mama ameyatafuta, na atayapata
View attachment 3341582
Itakuwa ni weweNinachojuwa Kuna mtu atakufa muda sio mrefu
We ni afadhali ya mwehu,Huyu fomu foo felia aliyekuwa mpanga mafaili ofisini akadondokewa na urais hawezi kushindana na Lisu. Ataharibu mpangilio wa siku zake bure
Tupatie ushahidi acha kuishi kwa hisia. Chadomo mchawi wake ni Lissu, jitu jinga lilijaa arrogance, ubishi, lijuaji wakati hakuna anachojua zaidi ya vifungu vya sheria alivyokariri. Lissu haijui siasa, hajui uongozi. Siasa jifunze kwa watu km kina JK, anachofanya huyo kibaraka wenu ni vioja vya kipuuzi siyo siasa. Ndio amekwisha chama kimemfiaPesa inayotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana na kama ingekuwa imeelekezwa kwenye maendeleo mda huu kusingekuwa na haja ya kutumia pesa za walipa kodi kuwanunulia Chaumaccm watu toka chadema
We ni funza huna akiliHakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi makaburu?