Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

Ushahidi umeanza kujileta wenyewe ...tunaona wanaharakati kutoka kenya wamekuja na wana hasira sana mipango yao kuvurugwa
Magufuli alikuwa akimuunga mkono Odinga na kenya hawakuwa na shida mahakamaccm na Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani tokea ccm
 
Akaemo mpaka mwakani Julai kwa kuwa anataka kujua nani mshindi
"Akaemo" ! Ndio nini? Uandishi wa aina hii una kutambulisha kuwa ni mtu wa aina gani. Na kujadili jambo na watu wa aina hii ni wastage of time
 
Tupatie ushahidi acha kuishi kwa hisia. Chadomo mchawi wake ni Lissu, jitu jinga lilijaa arrogance, ubishi, lijuaji wakati hakuna anachojua zaidi ya vifungu vya sheria alivyokariri. Lissu haijui siasa, hajui uongozi. Siasa jifunze kwa watu km kina JK, anachofanya huyo kibaraka wenu ni vioja vya kipuuzi siyo siasa. Ndio amekwisha chama kimemfia
Wewe mwenyewe Akili huna na tayari umekariri upumbavu mtupu kuwa mtu anayesaka haki na Tume huru ya uchaguzi na kukataa mambo yenu ya hovyo ni mjuaji mbishi kibaraka sijui mpuuzi, eti chama kitamfia , acha kuvuta Bangi zako kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, wewe siyo mungu kila unalopanga litimie, ushetani wenu utafika mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu
 
Tupatie ushahidi acha kuishi kwa hisia. Chadomo mchawi wake ni Lissu, jitu jinga lilijaa arrogance, ubishi, lijuaji wakati hakuna anachojua zaidi ya vifungu vya sheria alivyokariri. Lissu haijui siasa, hajui uongozi. Siasa jifunze kwa watu km kina JK, anachofanya huyo kibaraka wenu ni vioja vya kipuuzi siyo siasa. Ndio amekwisha chama kimemfia
Walikuwepo madikiteta hatari akina iddy Amin Elbashiri Bokasa magu Chiluba mabutu makaburu na wenzao leo hii wapo wapi? Malipo ni hapahapa Duniani fanyeni ushetani wenu weee lakini mjue vina mwisho wake
 
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.

Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.

Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.

Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.

Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
Umeishawahi, kujiuliza, Mandela aliweza, vipi kukaa jera kwa 27yrs! Kwa nini makaburu hawakumuua huko huko jera! Wakati wanawawinda wengine uraiani na kuwaua,wengine waliwafuata mpaka Dar! Kwa nini Mandela waliyekuwa nae gerezani walishindwa kumuua!
Ccm ni wepesi Sana, wanajua kuwasha vingora ru wakiwa kwenye foreni!
 
Ya Senegal Ghana Zambia yanaenda kutokea Tanzania mda utaongea watesi wataanguka anguko la Aibu
 
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.

Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.

Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.

Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.

Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
 
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.

Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.

Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.

Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.

Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
Haya tufanye kweli hatoki , haya inawasaidia nini watanganyika wa kikolomtonyi wanao kunywa maji na ng'ombe zao?
 
Chadema wamefanya siasa. Kumkamata Lissu na kumuweka ndani sio kumkomoa, ni kufanya Chadema wapata "public sympathy" na ndio siasa ya chama cha upinzani.

The world sympathises with Lissu and Chadema right now. Siasa imefanyika
Manyoka wa chura kiziwi hawalijui hilo
 
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala.

Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni ushahidi tosha kuwa kazi ipo,tuseme Tundu aliteleza na alipoteleza alikuwa kwenye mtelezo.
Ameongea maneno mazito ya kusisimua na kufikirisha sana na kujiuliza .Je ataweza au wataweza ? Kukinukisha kufanya uasi dhidi ya Serikali. sio kesi rahisi haswa Serikali ikiamka mapemba kabla uasi huo hauja shika kasi na kuichafua nchi.

Sasa hawa mawakala wanaozuka kila shehemu hata kutoka nchi za nje ,hapa napo pana neno ! Ni wazi walikuwa wameshajiandaa ikiwa A tufanye B nayo ndio haya tunayoyaona toka hawa tulionao ambao walikuwa wamejificha sas tunaona. Jambo la mwanzo kufeli ni kufeli kwa viongozi wa dini ambao ndio wamwanzo kuvaa shanga na kulicheza twimbili la Tundu makanisani na kwenye mitandao, sasa hivi wote wamezima.

Ushauri ni kukaa na Serikali mkazungumza nayo (Viongozi waChadema mjipange na muende Ikulu) na kusio kushindana na Kesi inayomkabili Lisu na kujifanya hamjui uhatari wake na zaidi pale mnaowatuma au kujituma kutoa amri ...Serikali imuachie Tundu mara moja.... hilo ni tamko baya sana na ndio linalompoza mwenzenu ,upande wangu kila anaetamka hivyo ndie adui nambari one wa Lisu.

Kwanza kesi za namna hii zinakula tarehe na mwisho wake ni gerezani badala ya kitanzi umevuka kitanzi unaswekwa Jela ,tuseme hakuna ushadi lakini matamko yanamtia mtu gerezani.
Tumieni hekima na busara kumuokoa mwenzenu/mwenzetu WaTanzania tunajuana ,achaneni na wachochezi waliopo nje au ndani wanaojaza mawakala kwa madai ya kumtetea kwa kutumia mahesabu ya probability .
Chizi kama chizi. Kakojoe ulale achana na Mh Lissu
 
Na saivi tumewatangazia UVIKO mlete pua zenu sasa pale KITUSU
 
Kumshikilia Lissu ni sawasawa na kushikilia kaa la moto.
 
Wacha asitoke lakini hatutaacha kusema haki. Huyu malaya Samia ni mpumbavu mkubwa na mjinga kichwa mviringo. Ngojeni muone kitakachoendelea sasa kwa huyo mama yenu malaya.
 
Umeandika kiutu uzima! Hata Jana Lissu matendo yake mahakamani yalionesha hofu aliyonayo. Hakuwa na utulivu, wanaoelewa waliangua machozi, kama Lema et al. Ngoja niishie hapa nisije pata ngeu kutoka kwa Erythrocyte au Mshana Jr au Chakaza au brazaj au Retired au …. Namuogopa

..Lissu yuko tayari kwa lolote.

..ameshasema anafahamu hatari ya kutetea HAKI hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom