Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

Utamu wa hii kesi ukamilike ushahidi, nami sielewi jambo hapo, uhaini wa Lissu ni kutoa matamko ya uhaini, sasa inakuaje miezi inakatika halafu ushahidi haujakamilika mpaka leo? Matamko yake yapo kwenye social media zote na YouTube... Anyway
Ushahidi umeanza kujileta wenyewe ...tunaona wanaharakati kutoka kenya wamekuja na wana hasira sana mipango yao kuvurugwa
 
Chadema wamefanya siasa. Kumkamata Lissu na kumuweka ndani sio kumkomoa, ni kufanya Chadema wapata "public sympathy" na ndio siasa ya chama cha upinzani.

The world sympathises with Lissu and Chadema right now. Siasa imefanyika
Kama ni hivyo mememuuza mwenzenu kwa maslaha yenu binafsi wakati dunia ya Leo kila mtu na lake,si ajabu hii kesi ikahamishiwa kwenye kambi za kijeshi aafu tuone atakaetokeza pua huko, nawaambia nyie ndio mnamchongea mwenzenu , wengi watajitenga tu maana kunahitajika waliokuwa karibu nae nao wakamatwe. Ndio mnasikia upelelezi haujakamilika , Kama wewe ni Chadema na ulikuwa bega kwa bega na lisu na hauna wa kukutetea au hauna paspoti ya nchi nyingine ,kimbia.
 
akili yako kidogo sana, unajua kila kundi la watu ie wanajeshi, viongozi wa dini, polisi, magereza, maensi, mainjinia, mabepari, etc etc wanafikiria nini kweye mioyo yo?
 

Hiyo ya mahakama ni jeshi ni "wishful thinking" ya kwako kama ilivyo ya walimkamata kwamba ni Mhaini.
Wao wakamate watu wote, lakini hamna kesi pale, wanachofanya ni kumtesa Lissu. Kwani unafikiri Lissu alipotaka kuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani alifikiri hakuna jela au mateso? 😁

Wao waendelee kumshikilia kw sababu wana wana mamlaka, lakini kesi hawana 😁.
 
Umeandika kichawa sana
 
Tatizo ni moja tu unamkamata mtu then unaanza kutafuta aina ya kosa la kumpa.Kusema tutakinukisha sio uhaini bali ni kutishia tu sasa itategemea na tafsiri ya muktadha.Uhaini huwa tendo lilofanywa na hakuna uhaini upepelezi utachukua miezi na miezi ukiona hivyo hakuna kitendo na kama hakuna kitendo unaangaliq attempt au sedition tu.Tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa kudhani tuko sawa.Narudia tena tunapotea turudi tujisahihishe tusonge mbele kuna mambo yanahitaji akili zaidi kuliko nguvu
 
Mashahidi upande wa Jamhuri wapo 15, upande wa Lisu wapo wengi mno.

Upelelezi bado haujakamilika, hapo ni muda gani kesi kuisha?

Uchaguzi uko very near time.
 

Kutoka atatoka tu. Msimdanganye Mama. Kama video zipo wanasubiri ni kuanza kesi. Bora kesi ya Mbowe aliyeiandaa alijaribu kuwaunganidha Wajeshi kuongeza uzito. Hii ni kichekesho zaidi.
 
Yaani maneno ya Lissu yana hatarisha amani kuzidi Kagoda Escrow kuzidi IPTL kuzidi mkataba mibovu ya nchi hii na rasilimali zake jamani kuzidi Riport za CAG tufike kipindi kama nchi tujitambue Maneno ya Lissu hayana Impact yoyote kwa mwananchi mmoja mmoja ni Uoga wa viongozi kuogopa mabadiliko Mwalimu Nyerere alisema mabadiliko waogopa wale walioshiba lakini kwa mwananchi wa kawaida nambie Tume huru inaweza kua na Impact gani kwa mwananchi wa akawaida?
 
Jiandaeni kukabidhi ikulu kwa nguvu kwa watu wenye mabaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…