Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

Hv Uasi ndio uhaini?
Kama kawaida nikamuuliza AI swali lako (uasi ndiyo uhaini?)na majibu ni haya:

Si lazima uasi uwe uhaini, lakini unaweza kuwa hivyo kulingana na muktadha na nia ya uasi huo.

Uasi:

  • Kwa ujumla, uasi ni kitendo cha kupinga au kukataa mamlaka, sheria, au utaratibu uliowekwa.
  • Unaweza kuonyeshwa kwa njia mbalimbali, kutoka kwa kutotii maagizo madogo hadi kwa maandamano makubwa au hata matumizi ya nguvu.
  • Nia ya uasi inaweza kuwa tofauti, kama vile kutaka mabadiliko ya sera, kupinga ukandamizaji, au hata kutaka kuipindua serikali.
Uhaini:

  • Uhaini ni kitendo maalum cha usaliti dhidi ya nchi au serikali.
  • Mara nyingi huhusisha vitendo vinavyolenga kudhoofisha usalama wa taifa, kama vile kufanya ujasusi kwa ajili ya adui, kuanzisha vita dhidi ya nchi, au kujaribu kumuua kiongozi wa nchi.
  • Uhaini ni kosa kubwa kisheria na kwa kawaida huadhibiwa vikali.
Uhusiano kati ya Uasi na Uhaini:

  • Uasi unaweza kuwa sehemu ya uhaini ikiwa una lengo la kudhoofisha nchi au kuipindua serikali kwa nguvu.
  • Hata hivyo, si kila kitendo cha uasi ni uhaini. Kwa mfano, mtu anaweza kuasi sheria fulani au sera ya serikali bila kuwa na nia ya kuhatarisha usalama wa taifa.
  • Mpaka kati ya uasi na uhaini unategemea sana nia ya mtu anayeasi na matendo anayofanya. Ikiwa nia ni kupinga sera au sheria fulani ndani ya mfumo uliopo, kwa kawaida hiyo haitakuwa uhaini. Lakini ikiwa nia ni kuangusha serikali au kusaidia adui wa nchi, basi inaweza kuchukuliwa kuwa uhaini.
Kwa muktadha wa Tanzania, sheria zinaweza kufafanua kwa undani zaidi ni vitendo vipi vinaweza kuchukuliwa kuwa uhaini. Ni muhimu kuzingatia sheria za nchi husika katika kutathmini ikiwa kitendo fulani cha uasi ni uhaini.
 

Attachments

  • Tundu Lissu na Uasi.mp4
    5.1 MB
Unajidanganya, bado huelewi thamani ya amani na utulivu na gharama za kuilinda, yule kichaa ataozea ndani kama Mandela
Unachekesha kama sio kuhudhunisha!
Unashindwa kuangalia historia ya tawala mbalimbali na kusoma picha iliyoko ubaoni sasa?
 
Hakunaga kesi ndogo mrembo Bulamba hata ukijinyea kwa makusudi barabarani hiyo nayo ni kesi kubwa.

kwa hiyo, acha upotoshaji kwani mabango yote kuwa usikojoe hapa hauyaona ?
Huoni kama Lisu anatendewa kama alivotendewa Mandela na makaburu???

Haya ya kujinyea hayana mashiko
 
Lissu atatoka na utawala wa bibo yako umeshakataliwa.
 
Kwani Sheria inasemaje kuhusu kutamka na kutenda, mf nikisema nitamuua mtu fulani na kabla sijafanya harakati za kumuua nikakamatwa, je nitahukumiwa kitanzi?

Na je iwapo nilitamka nitamuua mtu Fulani na harakati zangu hazipelekei kumuua mtu huyo japo nilitamka, je nitahukumiwa kitanzi?

Tuanzie hapo
 
Idd Amin Mama ameyatafuta, na atayapata
 
Mungu yupo na mungu ndiyo ataamua Mbowe slaa hawakufungwa lakini pia Lisu hatafungwa kwa hizo kesi za uongo
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi makaburu?
 
Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana na kama ingekuwa imeelekezwa kwenye maendeleo mda huu kusingekuwa na haja ya kutumia pesa za walipa kodi kuwanunulia Chaumaccm watu toka chadema
 
Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana na kama ingekuwa imeelekezwa kwenye maendeleo mda huu kusingekuwa na haja ya kutumia pesa za walipa kodi kuwanunulia Chaumaccm watu toka chadema
Tupatie ushahidi acha kuishi kwa hisia. Chadomo mchawi wake ni Lissu, jitu jinga lilijaa arrogance, ubishi, lijuaji wakati hakuna anachojua zaidi ya vifungu vya sheria alivyokariri. Lissu haijui siasa, hajui uongozi. Siasa jifunze kwa watu km kina JK, anachofanya huyo kibaraka wenu ni vioja vya kipuuzi siyo siasa. Ndio amekwisha chama kimemfia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…