Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

Fuatilia kesi ya Marehemu Seif Sharif na kwa nini aliachiwa , hapo utaiona hatali iliopo kwa ndugu yetu Lisu.
Weweh wacha hilo kukinukisha kuna neno au maneno alitumia hayo ndio palipo na uhatari ,hilo kukinukisha ni jepesi sana.
Upo Uhaini wa kizalendo na usio wakizalendo ...kuipindua serikali ya kihalifu huo ni uzalendo pia ...hapa naelezea maana ya neno uzalendo na linavyo fanya kazi maana mazuzu wa jf mna akili za kuchambia tu... kuvunja sheria za nchi kwa ajili ya haki huo ni uzalendo pia ..kitendo chochote utakacho kitenda hata kama kinavunja sheria gani ulimwengu bali umekitenda kwa ajili ya haki basi kitendo hicho ni kitendo cha KIZALENDO....
 
Fuatilia kesi ya Marehemu Seif Sharif na kwa nini aliachiwa , hapo utaiona hatali iliopo kwa ndugu yetu Lisu.
Weweh wacha hilo kukinukisha kuna neno au maneno alitumia hayo ndio palipo na uhatari ,hilo kukinukisha ni jepesi sana.
Weka hapa hayo maneno mengine?
 
Uongo wa mchana! Kama yupo tayari, kile ki wewe cha nini mahakamani

..kule ni kujiamini.

..angekuwa anaamini kuwa ana hatia asingekuwa amechangamka kiasi kile.

..Na umati uliofika pale pia umempa moyo.

..Ccm walitaka kumfanyia psychological torture kwa kuendesha kesi kwa kificho ili Lissu awe mnyonge kwa kutokuona watu wanaofuatilia kesi yake.
 
Kipenda roho.... kile ni kiwewe
 
Msiseme alichangamka, mnashindwa kusoma tabia uso na vitendo ,labda kilugha tuseme amepazal hajui atendalo , Hebu mtafute wakili alietulia kwa pembeni uzungumze nae na zile clipu za Mheshimiwa Lisu umuoneshe kama hajaziona kisha mwambie akupe kosa lipo wapi ,hapo ndio utaona kama kuna tatizo ,msijifanye wajuaji wa;la msijaribu kuwaleta mawakili vimbele mbele ambao kwao wanaonekana wahovyo na wana milolongo mikubwa tu ya kusababisha wak kibao kuuwawa.

Jaribuni kuwa calm na kutafuta njia ya kumtakia aachiliwe au asamehewe ,sio aibu wala vibaya ,hamna haja ya kutangaza .tumieni njia za kibinadaamu ,mtu aliefunga safari hapa hadi Kenya kumjulia hali ,sidhani kama anaweza kusita ,Raisi Samia anamhurumia sana Lisu ila watu wengine wakionyeshwa upendo wanazidi hashuo,
 
Mkuu kwa mjibu wa Sheria nini maana ya kukinukisha?
Harafu anaiasije serikali wakati yeye ni raia wa kawaida?
Naomba kujua.
Raia wa kawaida hana athari hata akiasi SERIKALI yake maana si anagoma kimya kimya kunywa soda,chai,bia, energy nk? Pia,anaamua kutembea Kwa miguu huku akilima shamba lake na kula viazi vitamu ,mihogo,maboga,miwa nk bila kuprleka sokoni.?
 
Atatoka kesi ikiisha
 
Kuna wakina lissu zaidi ya 1000 mpaka sasa kumzuia mmoja ni kujidanganya tu
 
Uongo wa mchana! Kama yupo tayari, kile ki wewe cha nini mahakamani
Hakuna kiwewe, kesi ya Lissu exposed Tanzania poor justice system, Lissu alisemaga kabla, majaji wa TZ hawajui wanachokifanya. Hiki ndicho tunachokiona leo. Judge amesoma kwa kukariri, huyo government counsel hajui anachofanya, yupo very weak. Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…