Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

Jioni ya April 25 wamefukia 89
 
Fanyia uchunguzi nasikia baadhi ya maiti zimekutwa na majeraha kabisa ya kupigwa sio kweli kwamba wamekufa kwa kufunga pekee kuna siri nzito .na yule sio mtu wa dini ni katili anayetumia kivuli cha dini.
 
Yule huko gerezani wangempiga sndn ya smu tu

Ova
 
Kama ingekuwa hawajafa basi tungesema kawadanganya. Ila kama wamekufa hajadanganya mtu hapo.
 
Mwamposa si ni hao hao CULT?
 
ajabu
 
Ila imebainika walikuwa wanawekewa ulinzi, anaejaribu kutoroka kwenda kutafuta chakula aliuwawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…