Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?

Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?

Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
 
Ni upumbavu kumbagua mtu kidini wengine wamechanganyika kama briham diaz baba mmoroco mama spaniola catholic ile ile sasa sisi wApumbavu na wajingaa ambayo tunapigana haileti ustwai mzuri wa nchi hao jamaa hawajuagi? Sijui wanajua naturality yao ni bara through slave trade bagamoyo tabora wanzanzibari halisi ni fresh from bara. Biashara ya utumwa wakazaliana na arabic wanamdharau nweusi mwenzao shem on them
 
Wako confused
 
Back
Top Bottom