Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
duuhSio dini ya kipambacu ila waamumini wengi ndio wapumbavu na wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuhSio dini ya kipambacu ila waamumini wengi ndio wapumbavu na wajinga
Maneno makaliIle dini ya Kipumbavu ilioshushiwa kitabu na Majini, wengi wao hawajui hata wanaabudu nini zaid ya kutupia magauni na kushinda njaa.
Nashauri Zanzibar waachwe tu wawafuate Mabwana zao Warabu, huwezi vunja hiyo ndoa ya Utumwa.
Mtu akifunga anatakiwa akae ndani au barazani anaperuzi kitabu chake cha dini kwa tafakari huku anafanya toba.Huo muda wa kutafuta harufu ya wanaopika misosi anautoa wapi?Tabia hiyo ni mbaya na ni maigizo ya hali ya juu.Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula umefunga umebadilisha ratiba ya chakula
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Shida sio dini shida ni hao watu wanaotaka kujisafisha mbele za watu afu kama unguja wametoka wanazuoni wengi tu ambao wanafundisha mambo mazuri ya bwana mtume Mohammad S. A. W ila hawataki kuwasikiliza mafundisho. Naweza kusema zanzibar waislamu wapo wazuri na wapo wa hovyo tena hovyo kabisaHii deen ni shida hapa duniani
Maneno ya Hasira.Maneno makali
Naamini hakimu atawauliza..."kwa nini mlikua chakula?.Hamjui kula ni dhambi?"...😂😂😂😂Hiyo funga inabadilishwa ratiba ya kula tu tena kwa lazima na sio hiyari.
Nilishangaa yule kamanda wa polisi anasema wameshakamata watu 12 wanasubiri kuwafikisha mahakamani sasa najiuliza watahukumiwa kwa sheria zipi?
Watu wa aina hiyo ni wale wanafunga kwa hasira na siyo kwa takwa lao kutoka moyoni mwao, mfano ni kama wale walio choma sindano za corona na wale ambao hawakuchoma,beef lilikua kali sana na kila mtu akimlaumu mwenzake kabugi!!Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula umefunga umebadilisha ratiba ya chakula
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Ngoja na mimi ni organise kundi langu la wanaume tulio kwenye ndoa tukawachape wale Jamaa wa kataa ndoa wa humu na huko nje!! Kila mtu alinde chake!!Mimi nilitaka ukifunga funga kwa kumaanisha usishinde njaa kisa watu afu kwenda kutafuta chakula cha watu wanaokula
ni kitu cha ajabu sana. sidhani kama unakuwa umefunga kweli na ukiwakuta wasio waislam wanakula, unawapiga viboko, ukiamini mungu wako amekuelekeza ufanye hivyo. sisi tusio waislam tufunge ramadhani kitu gani icho? na kama ninyi mmefunga, sisi hatujafunga, ninyi ni nani kutuambia sisi tusile? na kama mnachapa hadi wakristo viboko, tuseme hiyo dini yenu ni ya amani kweli?Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula umefunga umebadilisha ratiba ya chakula
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.
Na Msikitini tutawapeleka kwa bakora safari hii!!Yaani mungu wao anasaidiwa na Mwanadamu kuadhibu watu duu, ni nomaaa
mkuu haya mambo ni balaa ndio yaliyoimegasha Sudan kutoka Sudan mbilini kitu cha ajabu sana. sidhani kama unakuwa umefunga kweli na ukiwakuta wasio waislam wanakula, unawapiga viboko, ukiamini mungu wako amekuelekeza ufanye hivyo. sisi tusio waislam tufunge ramadhani kitu gani icho? na kama ninyi mmefunga, sisi hatujafunga, ninyi ni nani kutuambia sisi tusile? na kama mnachapa hadi wakristo viboko, tuseme hiyo dini yenu ni ya amani kweli?
Ndio kilicho uarabuni watu wanajifanya waislam moyoni hawaamini huyo AllahNa Msikitini tutawapeleka kwa bakora safari hii!!
Umemaliza mkuu, shida hayo majinga yatakuelewa?Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula umefunga umebadilisha ratiba ya chakula
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.