Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

Hata polisi wazanzibari ni wapuuzi kweli hawajui hata wajibu wao, wanawakamata wawapeleke kwenye mahakama ipi. Naona shida ni huyu Rais wao wa sasa inaonekana ni extrimist. Rais kijana msomi halafu mdini ni aibu. Babake hakuendekeza huo upumbavu
 
Naunga mkono hoja hasa hapo WA HOVYO KABISA
 
Dini ya kijinga 🚮🚮 sana ndio yanasema kwamba yakifa ya akuta wanawake wangapi mabikra BLA BLA kibao...hakuna akili kabisa utumwa wa Dini hautakuja toka Kwa watu hasa Mitanzania...
 
Waliopo nchini zenji watupe updates ni watanganyika wangapi leo wamekamatwa sababu ya kula na hao waarabu koko.
 
Wengine wanatafuta sifa tu. Sasa mtu aliyefunga akimuona mtu asiyefunga anakuka kinamuuma nini? Au funga yake inafunguka? Waache ujinga wao wasituchoshe
Hasira zinakuja kwasababu kufunga wengi wanalazimishwa
 
Hata polisi wazanzibari ni wapuuzi kweli hawajui hata wajibu wao, wanawakamata wawapeleke kwenye mahakama ipi. Naona shida ni huyu Rais wao wa sasa inaonekana ni extrimist. Rais kijana msomi halafu mdini ni aibu. Babake hakuendekeza huo upumbavu
Inabid aondolewe madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…