October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao.
Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe.
Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa ndugu zao. Wataka kuwaonjesha utamu wavuraga amani. Miye sijui walahi! Na bado. Siye twafa wao hawafi. Siye ndo ndugu zetu wakutubuliwa matumbo kwa lisasi. Wao watuita wahalifu. Siye siye siye. Tutaona.
Wao wanaishi mbinguni tusikofika. Waua ndugu zetu tukisema watuita wahalifu na vibaka. Heeheee! Nye Nye Nye. Awamu ya pili wakulungwa wasema hawachekeshi. Na bado