Yadaiwa watu hawakuogopa askari. Wasema silaha watazitafuta na kuzipata

Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao.

Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe.

Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa ndugu zao. Wataka kuwaonjesha utamu wavuraga amani. Miye sijui walahi! Na bado. Siye twafa wao hawafi. Siye ndo ndugu zetu wakutubuliwa matumbo kwa lisasi. Wao watuita wahalifu. Siye siye siye. Tutaona.

Wao wanaishi mbinguni tusikofika. Waua ndugu zetu tukisema watuita wahalifu na vibaka. Heeheee! Nye Nye Nye. Awamu ya pili wakulungwa wasema hawachekeshi. Na bado
Tuombe MUNGU yasitokee tena
 
Mimi nilikuwa naogopa bunduki lakini kwa sasa nimeiva. Mabomu ya machovu wala hayana shida ni sawa na Marathi ya pemba tu.

Labda waje na mfumo mwingine lakini kututishia bunduki tena hilo raia hawazi.

Nilichokishuhudia kwenye maandamano haya bado siamini kama ni Watanzania hawahawa waliokuwa wakisikia king'ora cha police tu wanatimka mbio
Ilinishangaza sana. Eti watz waliitwa maiti ZINAZO tembea? Sasa zilitaka kung'ata waosha maiti
 
Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao.

Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe.

Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa ndugu zao. Wataka kuwaonjesha utamu wavuraga amani. Miye sijui walahi! Na bado. Siye twafa wao hawafi. Siye ndo ndugu zetu wakutubuliwa matumbo kwa lisasi. Wao watuita wahalifu. Siye siye siye. Tutaona.

Wao wanaishi mbinguni tusikofika. Waua ndugu zetu tukisema watuita wahalifu na vibaka. Heeheee! Nye Nye Nye. Awamu ya pili wakulungwa wasema hawachekeshi. Na bado
Thats how makundi ya waasi comes to be. Injustice isipokuwa treated kwa muda mrefu we all know outcome yake
 
Back
Top Bottom