October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
CCM mnatambia silaha.Lafiki wa kalibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao. Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe. Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa ndugu zao. Wataka kuwaonjesha utamu wavuraga amani. Miye sijui walahi! Na bado. Siye twafa wao hawafi. Siye ndo ndugu zetu wakutubuliwa matumbo kwa lisasi. Wao watuita wahalifu. Siye siye siye. Tutaona.
Wao wanaishi binguni tusikofika. Waua dugu zetu tukisema watuita wahalifu na vibaka. Heeheee! Nye Nye Nye. Awamu ya pili wakulungwa wasema hawachekeshi. Na bado
Arudie tena nywi nywii nywiii
Lafiki wa Kalibu
Ok basi sawa.
Siye twataba tuko binguni nye muko matopeni walahi tutawatubua matubo yenyuCCM mnatambia silaha.
Watu wakizitafuta black market msianze kulialia.
Kumekucha tu umeanza fujo?
Mimi nilikuwa naogopa bunduki lakini kwa sasa nimeiva. Mabomu ya machovu wala hayana shida ni sawa na Marathi ya pemba tu.
Labda waje na mfumo mwingine lakini kututishia bunduki tena hilo raia hawazi.
Nilichokishuhudia kwenye maandamano haya bado siamini kama ni Watanzania hawahawa waliokuwa wakisikia king'ora cha police tu wanatimka mbio
Lafiki wa kalibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika.
Asema hakuna kilichoharibika
Awamu ya pili wakulungwa wasema hawachekeshi.
Hata ujifanye hujui kuandika, haisaidii.Wauliwa dugu yako. Wauawa kama nguruwe poli. Utatulia weeye uishie binguni tusiko fika. Tutaona. Twajua wao bado hatujawaonjesha utamu lakini sio mbali ngazi waliyopo tutaingia. Na bado
Hata ujifanye hujui kuandika, haisaidii.
Huo ni msemo wa Polepole.Na bado.
Huo ni msemo wa Polepole.
Watalipa kwa yote😢😢
Na watakuja kweli.Wauliwa dugu yako. Wauawa kama nguruwe poli. Utatulia weeye uishie binguni tusiko fika. Tutaona. Twajua wao bado hatujawaonjesha utamu lakini sio mbali ngazi waliyopo tutaingia. Na bado