Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu.
YA KWANZA
Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina.
Hatua hii itahitaji kuachiwa kwa misaada kuingia Gaza bila kizuizi kwa kasi ya malori 600 kwa siku.
YA PILI
Baada ya muda wa mwanzo Hamas iachie wafungwa wote ilionao wakiwemo askari na wakati huo huo Israel iondoshe jeshi lake Gaza lirudi nyumbani.
YA TATU
Ujenzi wa Gaza iliyobomolewa na kurudiswa miundo mbinu sambamba na kupata washirika kutoka maraifa ya kiarabu na kiislamu kuiendesha Gaza kuhakikisha utawala utakaofuatia itakuwa si wa Hamas