Yafahamu yaliyomo ndani ya mpango wa Biden kumaliza vita vya Gaza ambayo Israel wameyakubali na Hamas hawaoni shida kuyatia saini.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu.
YA KWANZA
Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina.
Hatua hii itahitaji kuachiwa kwa misaada kuingia Gaza bila kizuizi kwa kasi ya malori 600 kwa siku.
YA PILI
Baada ya muda wa mwanzo Hamas iachie wafungwa wote ilionao wakiwemo askari na wakati huo huo Israel iondoshe jeshi lake Gaza lirudi nyumbani.
YA TATU
Ujenzi wa Gaza iliyobomolewa na kurudiswa miundo mbinu sambamba na kupata washirika kutoka maraifa ya kiarabu na kiislamu kuiendesha Gaza kuhakikisha utawala utakaofuatia itakuwa si wa Hamas

What’s in Biden's 3-phase plan to end the war in Gaza?

Nina mashaka huo mpango unatokea viunga vya Temeke kwa Biden wa mchongo sio Biden wa U.S.A

MPANGO WA KIJINGA SANA. Ni mpumbavu asiyewajua wafuasi wa Muhamedi ukipenda uwaite wasaka bikra 72 ataamini hawa nyani watatulia.

MAKUBALIANN KAMA HAYO YAMESHAFANYIKA MARA NYINGI lakini wafuasi wa Muhamedi kila mara huamua kufanya yoa ili wakapewe mabikra 72. Infact azimio la HAMAS ni kuiteketeza Israel tu hakuna agenda nyingine.
 
Na hamas hawatafanikiwa. Ni heri hamas imalizwe nguvu kabisa
 
Nina mashaka huo mpango unatokea viunga vya Temeke kwa Biden wa mchongo sio Biden wa U.S.A

MPANGO WA KIJINGA SANA. Ni mpumbavu asiyewajua wafuasi wa Muhamedi ukipenda uwaite wasaka bikra 72 ataamini hawa nyani watatulia.

MAKUBALIANN KAMA HAYO YAMESHAFANYIKA MARA NYINGI lakini wafuasi wa Muhamedi kila mara huamua kufanya yoa ili wakapewe mabikra 72. Infact azimio la HAMAS ni kuiteketeza Israel tu hakuna agenda nyingine.
We kwanza ni mpumbafu sana usimuite Mtume Muhammad kama unavyo muita kama mtu wa kawaida.

Pili mtu ambaye hamheshimu Mtume Muhammad lazima awe ana kasoro flani akilini kwake.

Tatu wewe unataka kumfananisha Mtume Muhammad na Paulo? Paulo nani alimpa kitabu mpa akawa Mtume, au nikama walevi mnafata msururu hamjui dini hio kaitoa wapi.

Nne Nipe wapi kuna andiko linalo sema ukristo ni dini ya Mungu, au Yesu alileta ukristo au Mussa au Yakobo au Ibrahim.

Tano Israel kashindwa vita utake usitake alingia kwa masharti ya kuwakomboa matekwa, kuivunja Hamasi, kuvunja tunnels hakuna hata moja alilo fanikiwa.

Nani amekuambia Hamasi atakubali nchi za kiarabu zipeleke jeshi pale, hata kama atakubali unadhani Hamasi akitaka kuwafurusha atashindwa.

Hamasi atabaki na Gaza itabaki kuwa chini ya Hamasi Mtake mistake.

Biden kaingia kuwaokoa wa Israel wanapigana vita ya kuvunja majumba, kuwauwa watoto, wanawake kuvunja mashule. Hospital, hio ndio vita Israel kaiweza ama yakupigana na Hamasi kashindwa.

America lazima aingilie kati anaona nchi ambayo walipandikiza hapo Middle East kwa ajili ya kuwadhuru warabu inakaribia kufa wanawahi kuikoa.

Tazama we kenge Israel anavyo pelekewa moto na Hezbullah

View: https://youtube.com/shorts/H5cvNi44EMI?si=7EkKrmiDVVk1Azxp
 
Netanyahu ameamua kukataa maombi ya Biden 😄

Safi sana hi ndio fursa ya kuwamaliza wanajeshi wa Israel.
 
Hakuna kusimamisha vita mpaka magaidi hamas yatokomezwe.
Viva Israel. Viva Netanyahu
 
Siku chache zilizopita,Spain na baadhi ya nchi zimeitambua Palestina kama nchi. Na kwa hali ya kawaida Palestina inatakiwa kuwa nchi inayojitawala na kujiamulia mambo yake. Haya mamlaka machache waliyopewa yanawapatezea haki.
Solution ni two state. Nchi mvili Israel na palestina. Waishi pamoja. Gaza na west bank zibaki upande wa palestina na jerusalem mashariki iwe mji mkuu wa palestina. Period.
 
Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu.
YA KWANZA
Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina.
Hatua hii itahitaji kuachiwa kwa misaada kuingia Gaza bila kizuizi kwa kasi ya malori 600 kwa siku.
YA PILI
Baada ya muda wa mwanzo Hamas iachie wafungwa wote ilionao wakiwemo askari na wakati huo huo Israel iondoshe jeshi lake Gaza lirudi nyumbani.
YA TATU
Ujenzi wa Gaza iliyobomolewa na kurudiswa miundo mbinu sambamba na kupata washirika kutoka maraifa ya kiarabu na kiislamu kuiendesha Gaza kuhakikisha utawala utakaofuatia itakuwa si wa Hamas

What’s in Biden's 3-phase plan to end the war in Gaza?

Kulikuwa na ulazima wa kuuwana kinyama vile ?..... kwanini wasizungumze kutatua migogoro baina yao?....

Dunia uwanja wa fujo.
 
Siyo jambo jepesi, East Jerusalem kuwa mji mkuu wa Palestiniana. Je Israel atakubali?
 
We kwanza ni mpumbafu sana usimuite Mtume Muhammad kama unavyo muita kama mtu wa kawaida.

Pili mtu ambaye hamheshimu Mtume Muhammad lazima awe ana kasoro flani akilini kwake.

Tatu wewe unataka kumfananisha Mtume Muhammad na Paulo? Paulo nani alimpa kitabu mpa akawa Mtume, au nikama walevi mnafata msururu hamjui dini hio kaitoa wapi.

Nne Nipe wapi kuna andiko linalo sema ukristo ni dini ya Mungu, au Yesu alileta ukristo au Mussa au Yakobo au Ibrahim.

Tano Israel kashindwa vita utake usitake alingia kwa masharti ya kuwakomboa matekwa, kuivunja Hamasi, kuvunja tunnels hakuna hata moja alilo fanikiwa.

Nani amekuambia Hamasi atakubali nchi za kiarabu zipeleke jeshi pale, hata kama atakubali unadhani Hamasi akitaka kuwafurusha atashindwa.

Hamasi atabaki na Gaza itabaki kuwa chini ya Hamasi Mtake mistake.

Biden kaingia kuwaokoa wa Israel wanapigana vita ya kuvunja majumba, kuwauwa watoto, wanawake kuvunja mashule. Hospital, hio ndio vita Israel kaiweza ama yakupigana na Hamasi kashindwa.

America lazima aingilie kati anaona nchi ambayo walipandikiza hapo Middle East kwa ajili ya kuwadhuru warabu inakaribia kufa wanawahi kuikoa.

Tazama we kenge Israel anavyo pelekewa moto na Hezbullah

View: https://youtube.com/shorts/H5cvNi44EMI?si=7EkKrmiDVVk1Azxp

Yameshindwa vita hayo makafiri yaliyolaaniwa kazi kuuwa watoto/wasio na hatia.

Cha ajabu kuna manaswara wa huku Tanzania wameumia kuona vita inasimama, walitamani iendelee wasio na hatia waendelee kufa, ila wanasahau wanajeshi wanafyekwa.
 
Hakuna kusimamisha vita mpaka magaidi hamas yatokomezwe.
Viva Israel. Viva Netanyahu
Safi sana bada ya mda utasikia Netanyahu anatapa tapa anataka vita visimamishwe, kuendelea kwa vita si maslaha ya Israel takukumbusha hapa soku za mbele.

Israel hana ubavu wa kumshinda Hamasi.
 
Back
Top Bottom