Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

Niko hapa kuthibitisha kuwa Victor Akpan, Ismail Sawadogo na Mohamed Ouattara wameachwa rasmi Simba
Wewe utakuwa kwenye kamati tendaji ya klabu! Halafu unatoa tu hadharani siri za kambi.

Yaani huna tofauti na Baba wa Taifa enzi hizo!! Alikuwa anamiliki luninga pale magogoni! Halafu anakuja kulihutubia Taifa kuhusu matukio yatakayo tokea duniani. Kumbe alishayaona tayari.
 
Hapana mkuu
 
Hongera Mkuu nahisi wewe ni Mo au Ngungu [emoji16][emoji28]
 
Daaaah we jamaa baada ya kusoma ulichokiandika halafu kila kitu kinatokea

Nimenyong'onyea sana kwenye mstari wa mwisho kwamba kati ya Inonga, Zimbwe au Baleke mmoja wao ataondoka, daaaaah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…