Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

Huyu jamaa hata simuelewi
 
Mawinga tayari wamesajiliwa na kutangazwa kama nilivyosema. Winga Onana, winga Kramo
 
Naona na Joash Onyango Achieng kamkimbia Malone. Hii inatuongezea option ya kumsajili Fabrice Ngoma
 
Hakuwahi kusema kwa maneno, ila amewahi kusema kwa vitendo.
 
Onyango tayari huko, bado Banda & Sakho. Pole pole tu tutaelewana
Sawa..kwenye uchambuzi wako ulisema Sakho hana impact..je mchezaji asiye na impact mbona anatakiwa na timu kubwa..Banda aliathirika na majeruhi...Onyango ni yeye mwenyewe tu amejistukia ila Simba kwa maana ya uongozi bado ulioana bado anafaa kama ilivyo kwa Bocco.
Yote kwa yote nakubaliana na wewe hebu tuufuunge huu mjadala.
 
Awaachie wengine akina nani?!..maana nafasi yake inatakiwa ichukuliwe na mzawa..mtaje anaemzidi
Habibu Kiyombo no bora mara 10 kuliko Bocco. Nasikia atakwenda Singida. Kwa vyovyote hao Singida wamepata bonge ya mchezaji. Nina hakika Bocco hatakiwa popote katika timu za premier hapa TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…