mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Unapouhukumu uislam, uhukumu kwa misingi yake na sheria zake. Katika uislam tunafundishwa al' elm qablal qaul wal amal kwa maana uwe na elimu kabla ya kuongea kuhusu kitu/jambo husika na kabla ya kutenda jambo husika basi uwe na elimu na hilo jambo. Hiyo ni kama dibaji tu nakupa ili ujue yaliyomo.
Umeleta jambo kuhusu uislam, na misingi na sheria ya uislam inafahamika inapopatikana. Hebu tuletee ushahidi kwa hayo uliyoyaandika.
Maandishi yako ni mazuri sana na yanasisimua, hebu tupatie ushahidi umeyapata wapi/ ama kwenye kitabu kipi? Na sisi tufahamu kama wewe unavyofahamu.Ndiyo maana nimesema yakubidi usome usikariri tu vitu? Aisha aliolewa akiwa na miaka 6 ila walianza kujamiiana akiwa na miaka 9 Mohammad akiwa na miaka 54. Jiulize, wewe hapo ulipo kwa akili yako unaweza kumuoza mwanao wa miaka 6 kwa Sheikh mkuu wa Tanzania? Nyie watu vipi jamani, someni vitabu mpanue mawazo yenu.
Historia inakupa mwanga kidogo ya ukweliNikosoe uwongo wangu, soma historia mkuu ndipo utajuwa ukweli. Usitokwe na povu tu na kujidharaulisha.
Mbona unahama mada? Au kwa ghafla umesahau tunachokizungumzia? Sheria za Qur'an ya karne ya 7 ( si ya 6) na karne ya sasa hiyo ni ajenda nyengine. Ajenda yetu hapa ni shutuma ulizotoa kuhusu Muhammad bin Abdillah kuoa binti mdogo na mengine uliyoandika kuhusu juu yake hiyo ndiyo ajenda yetu husika.Hammaz Kumbuka, sheria za Qu'ran ni sheria za karne ya 6 ambazo zimepitwa na wakati....sasa tuko kwenye karne ya 21 kama ulikuwa hujuwi. Huwezi ku base sheria zilizopitwa na wakati kwa maisha ya sasa.
Maandishi yako ni mazuri sana na yanasisimua, hebu tupatie ushahidi umeyapata wapi/ ama kwenye kitabu kipi? Na sisi tufahamu kama wewe unavyofahamu.
Hakuna njia nyingine itakayokufikisha kwenye hiyo "nyumba" pasipo kupitia njia ya YESU KRISTO. Huwezi kamwe kuingia Paradiso bila kupitia kwa YESU KRISTO. Yeyote yule anayesema atakufikisha kwa MUNGU pasipo YESU KRISTO, mtu huyo ni muongo, tena ni muongo hasa.Halaaaaa kumbe Yesu ni njia tu yakukupeleka kwa Mungu asante mwenye kusikia na asikie njia aiwezi kuwa nyumba
Yesu Kristo au Mungu!!? Wapo wasioamini katika Yesu Kristo lkn wanaamini katika Mungu mmoja muumba wa mbingu na ardhi, hao unawazungumziaje? Fungua bongo yako uwe huru kupokea mawazo mapya na si kukarili na kukumbatia mafundisho ya kibaguzi.Mkuu mitale na midimu nimeusoma uzi wako, hongera kwa kuwakumbusha watu kule dunia inakoelekea, lakini kuna mengi sana ya kutisha yanayokuja na hujayaandika humu kwenye uzi wako. Mfano kuna mengi ya kutisha yametabiriwa kwenye kitabu cha UFUNUO na hujayagusia kabisa.
Pia umehitimisha uzi wako kwa kumung'unya maneno, kama vile umeogopa kuwaambia watu ukweli wa suluhisho, ni hivi UKWELI ni huu; hakuna WOKOVU kwa mwanadamu yeyote yule nje ya YESU KRISTO. Narudia tena; hakuna WOKOVU nje ya YESU KRISTO, hakuna dini, wala nabii atakayekuokoa wala mtume zaidi ya YESU KRISTO.
YESU KRISTO ni njia, kweli, na uzima, mtu yeyote hatafika kwa MUNGU pasipo kupita kwa njia ya YESU KRISTO.
Mwenye masikio na asikie!
Na YESU KRISTO alisema hivi kuhusu watoto wadogo; "ole wake mtu yule amkoseshaye mmoja wa wadogo hawa, maana ni heri mtu huyo angefungiwa jiwe la kusagia shingoni mwake na kutupwa katikati ya bahari kuliko kuishi na kuisubiri ile siku ya hukumu".Ndiyo maana nimesema yakubidi usome usikariri tu vitu? Aisha aliolewa akiwa na miaka 6 ila walianza kujamiiana akiwa na miaka 9 Mohammad akiwa na miaka 54. Jiulize, wewe hapo ulipo kwa akili yako unaweza kumuoza mwanao wa miaka 6 kwa Sheikh mkuu wa Tanzania? Nyie watu vipi jamani, someni vitabu mpanue mawazo yenu.
Mbona unahama mada? Au kwa ghafla umesahau tunachokizungumzia? Sheria za Qur'an ya karne ya 7 ( si ya 6) na karne ya sasa hiyo ni ajenda nyengine. Ajenda yetu hapa ni shutuma ulizotoa kuhusu Muhammad bin Abdillah kuoa binti mdogo na mengine uliyoandika kuhusu juu yake hiyo ndiyo ajenda yetu husika.
Nakukumbusha tena Mheshimiwa, madai yako umeyapatia wapi? Tusimkosee heshima mleta Uzi kwa kujadili jambo ambalo lipo nje ya Uzi wake. Tafadhali, tuwekee ushahidi.
Historia inakupa mwanga kidogo ya ukweli
Historia sio mkombozi wako
Tafuta iliyo kweli ambayo imetamkwa na aliye kweli acha porojo kama umejiumba mwenyewe
Na YESU KRISTO alisema hivi kuhusu watoto wadogo; "ole wake mtu yule amkoseshaye mmoja wa wadogo hawa, maana ni heri mtu huyo angefungiwa jiwe la kusagia shingoni mwake na kutupwa katikati ya bahari kuliko kuishi na kuisubiri ile siku ya hukumu".
Kuanza kujamiiana na watoto wa miaka 9 ni kuwakosesha watoto, ole wao watu wanaojamiiana na watoto wadogo maana wanawakosesha kama alivyosema BWANA YESU. Moto unakuja na siku hiyo tutaona mengi sana, wengi wataumbuka siku hiyo wakiwemo hao wanaojiita MITUME na siyo mitume.
Historia inakupa mwanga kidogo ya ukweli
Historia sio mkombozi wako
Tafuta iliyo kweli ambayo imetamkwa na aliye kweli acha porojo kama umejiumba mwenyewe
Mkuu greybakuza kama huna imani kwa YESU KRISTO biashara yako imekwisha, huna chako tena, wewe utakuwa MAJIVU tu. Kila asiyeamini katika YESU KRISTO hana nafasi katika Paradiso, hana nafasi katika Ufalme wa MUNGU. Huo ndiyo UKWELI ulivyo, ukimkataa YESU ni kama umemkataa MUNGU.Yesu Kristo au Mungu!!? Wapo wasioamini katika Yesu Kristo lkn wanaamini katika Mungu mmoja muumba wa mbingu na ardhi, hao unawazungumziaje? Fungua bongo yako uwe huru kupokea mawazo mapya na si kukarili na kukumbatia mafundisho ya kibaguzi.
Mkuu yawezekana ukawa na hoja nzuri unataka kufikisha ila kama nilivyosema kuwa huku kuelemea upande mmoja tu ndio kunaharibu...hebu pitia hili andiko.Si kosa lako, umekurupuka tu kutoka kunya kuja kudandia daladala. Huko nyuma nilisha andika kuwa hizi dini zote (Judaism, Christianity, Islam) ni za kivita, ila hapa issue ilikuwa Mohammad kwani kati ya manabii wote wa hizo dini tajwa hapo juu aliyekuwa anaua na kubaka ni Mohammad pekee. Je, ni chuki hiyo dhidi ya uislam?
Mkuu yawezekana ukawa na hoja nzuri unataka kufikisha ila kama nilivyosema kuwa huku kuelemea upande mmoja tu ndio kunaharibu...hebu pitia hili andiko.
One evening David got up from his bed and walked around on the roof of the palace. From the roof he saw a woman bathing. The woman was very beautiful, and David sent someone to find out about her. The man said, “Isn’t this Bathsheba, the daughter of Eliam and the wife of Uriah the Hittite?” Then David sent messengers to get her. She came to him, and he slept with her. (She had purified herself from her uncleanness.) Then she went back home. The woman conceived and sent word to David, saying, “I am pregnant.”… In the morning David wrote a letter to Joab and sent it with Uriah. In it he wrote, “Put Uriah in the front line where the fighting is fiercest. Then withdraw from him so he will be struck down and die.”… When Uriah’s wife heard that her husband was dead, she mourned for him. [2 Samuel 11:2-26]
Mbaya zaidi huyo huyo anayelala na mtoto wa miaka 9 anasema eti ametumwa na MUNGU kuleta DINI duniani. Mimi siku zote huwa nasema hivi, kuna tofauti kubwa sana ya Allah na BWANA MUNGU...... Allah ni mungu kama vile ISIS, MITHRA, TAMUZ, ISHTAR n.k. Lakini BWANA MUNGU ndiye MUNGU MUUMBA wa mbingu, dunia na viumbe vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana.Watu hawataki kupevuka tu, sielewi kwanini wanakuwa wabishi kuelewa au hata kupenda kujisomea ili wajuwe ukweli. Hivi kweli Mungu anaruhusu babu wa miaka 54 alale na katoto ka miaka 9?
Mkuu hoja yako haieleweki,kwa sababu hao wengine pia nao ni manabii kama ilivyo kwa Muhammad,Yesu na Moses. Sasa wewe et unaona kawaida tu kwa hao manabii wengine kufanya lolote ila kasoro hao watatu tu!! sioni hoja ya msingi labda hao manabii wengine sio wa Mungu.Ni kweli, ila Narudia tena.....nilishasema hapo awali kuwa hizi dini zote ni za kivita sie waafrika hazituhusu tulipigwa tu changa la macho. Huyo David si Yesu wala Moses, nimesema katika manabii wote hawa Yesu, Moses na Mohammad mbakaji na muuwaji ni Mohammad peke yake. Ni hayo tu.