Yajayo yanafurahisha kwa kila Mtanzania, tutaita maji mma. Marehemu hakashifiwi!

Yajayo yanafurahisha kwa kila Mtanzania, tutaita maji mma. Marehemu hakashifiwi!

Usilinganishe Tanzania ya wakati wa Jiwe na Tanzania ya mama kizembe! ... jiulize ni kipi angefanya Jiwe kulainisha hali ya Bongo muda huu!!? ... kwa siasa mbovu za kimataifa za Jiwe, ukichanganya na mitulinga yake, hali ya nchi ingekuwa mbaya kuliko mida hii, ... si ajabu watu wangekuwa wameishaingia barabarani!
Hali ya uchumi na mfumuko wa Bei vilianza kabla ya hii vita, hii vita no chaka la kujifichia.

Hali ni mbaya sana serikalini, ni muda tu mtapata majibu.

Kuna vuta nikuvute nguo ichanike.

Mama na jopo lake nchi imewashinda mapema mno.
 
Amekufa hatutaki raisi muua watu.nani alimua Anzory Gwanda?
Hii ni habari ya Mwaka huu.
====
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake.

====

Dar es Salaam. Fears have gripped parents and relatives of five young men who have reportedly gone missing for over three weeks now.

The five young men, who are described as Kariakoo traders, went missing since December 26 when they left for a beach party in Kigamboni.

Some relatives said they received the last communication from the young men that they had been arrested by the police but their whereabouts remains a mystery.

“We have visited various police stations, hospitals and even morgues but got no clue yet,” said Mr Longili Martin, father of one of the disappeared young men.

“As I speak to you, I’ve just been at Msimbazi and Central Police stations to see if there was any development. Unfortunately, there is none. The police only say that they are investigating,”he said.

Mr Martin, a resident of Gongolamboto explained that he last communicated with his son Edwin Kunambi on December 23, when he invited the son for Christmas celebrations. According to him, Edwin told him that he would not join the family because he would be busy and promised to join them on New Year Day.

When contacted, Dar es Salaam Regional Police Commander Jummane Muliro said he was aware of the missing young men and police were currently conducting investigations into the matter.

He denied claims that they had arrested the men whom they are now looking for.

“Some family members have reported the matter to the police and we are saying that not every missing person is arrested by the police. Not every missing person is dead, several times children go missing and they are found somewhere else…. Therefore when a person goes missing people should be patient,” he said.

According to him, when he was Shinyanga and Mwanza RPC, almost every day people would go to the mines, stay there for six months and come back after they failed to get what they expected.

“When police arrest people, we normally announce so that family members would be aware of their whereabouts,” he said.

Ms Sylvia Quentin, a relative of one of the missing young men called Tawfiq Mohamed, stressed that they have visited every police station, hospital and morgue more than twice, but all has been in vain.

“We cannot continue like this, today we are planning to demonstrate to the Minister for Home Affairs and see how he can help us,” she said.

Ms Tabu Saidi told The Citizen that her son Rajab Mdoe went to her house in Kinyerezi on December 26, asked for a car so that he could go to the beach in Kingamboni with friends for a party.

“I remember it was around 2 in the afternoon, when he came and took the car. When it was past midnight, I decided to call him but his phone was unanswered. It did not bother me, because I knew he would come back but I became suspicious when he did not return until morning,” she said.

According to her, she tried to call his phone in the morning and unfortunately, it was not reachable.

She added that on December 27, two of her son’s friends went to her house, to inform that her son had been arrested by the police when they were going to the beach.

“I have reported the matter to the police stations, gone through all hospitals and morgues but there is no clue,” she said, adding that she was helpless as what to do next.
 
Mtu akishakufa amekufa, acheni kuabudu mizimu, kwani kabla hajawa raisi mliishije, na alipokuwa raisi maisha ya yalikuawaje?? Mbona maisha ni yale yale,propaganda za uchumi wa kati zilitulevya. Ilimradi Mungu yupo hakuna baya litakalo tupata licha za hizo ramli zetu
 
Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.

Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo tulisha kanyaga nakuisigina

Namba moja akiwa amesha lala muda mrefu idara zikabishana nakujifungia vyumba vya siri mwisho wakatoka walisema katiba ifuwatwe.

Wenye akili aka wanasiri wakasema uko mbele tujiandae najambo as we know the secret no one no. Je nisiri gani hiyo no one no.

Usiku Taifa likapewa Taarifa namba moja aka Mwamba wa Taifa amelala. Mwanaume alie tikisa Wizara mpaka miimili ya Taifa amelala.

Wajinga wengi wasio na data wakasema sasa maisha yatanoga na ili walambe utamu wa asali vizuri wakasema kumuuwa nyani mpe majina mabaya Mwamba wa Taifa akasakamwa kila kona ya Taifa yakwamba alikuwa mbaya na katili mtu ambaye hakufaa kuongoza Taifa.

Mmmm watu wanao ona kesho wakasema je haya majamaa yanajuwa yanachokisema? Wakapiga kimya nakusema wakati ni mwalim mzuri...ili wauwa nyani kupata wafuwasi wakatafuta watu wengi walikutana na rungu la Mzee.

Wakarudishwa ndani...
Ktk siku za mwisho kabisa ambapo wengi tuna amini ndio ulikuwa mwisho wakusikia dhihaka na kejeli nipale kijana mmoja alie wahi tuaminisha ndie walimtetea namba moja ila akavuna mabuwa asijuwe alikuwa ktk kikaango kupewa nafasi nyeti na mwamba alisema ktk kikao kimoja Mungu ameamua ugomvi wake na mzee mmoja akimanisha mwamba kuondoka imekuwa nafasi yake kipumua nakurud ktk wizara aliporwa mchana.

Mmmmm ndipo inasemekana mmmm inasemekana wana nguo nyeusi na macho meusi wakatoa stop yakutajwa kwa mwamba mm mmm toka hapo mwamba hatajwi na kila walicho kifanya kinyume na mwamba wanakirudisha kimya kimya.

Zipo tetesi nasema tetesi idara nyeti za mataifa ya magharobi kuna maamuzi hawakupenda ktk maswala ya usalama. Nauwenda yametuacha ktk kiza kinene.

Kupanda kwa hali ya maisha na vyakula kupaa huku wese likituacha tumelowa nimoja ya mambo yatakinukisha mbeleni.

Maelfu ya ajira nakupandisha mishahara pasipo kuangalia nakishi ya mampato nimoja nya mambo siku za mbeleni yatamuweka bench yule jamaa wa singida. Zipo tetesi wana uchumi na economic intelligence unity walitoa maoni yao ila hayakuwa consider so kama itathibitika basi mtu atakalia kuti kavu.

Ndugu zangu sisemi kwa ushabiki ila makosa makubwa yameshafanyika kwa sasa tutake tusitake kazi ya genius usije kuibeza kwa simple words Mwamba Mungu amlaze mahali pema peponi siku za mbeleni hotuba zake na siku yakifo chake zinakusisha hasi na chanya za Taifa. Sasa wa Tz wanajuwa zaid nia ya Mwamba na wanajuta kwa mawazo yao juu yake. Maisha hayatokuwa rahis kama tunavyo waza kupanda kwa bei ya nishati, mfumuko wa bei wa bidhaa adimu hasa chakula na hali ya siasa za kimataifa nimoja ya mambo yatakuwa mwiba mchungu kwa serikali na wa Tz.

Mwez wa kumi na mbili Marekani wameyatega Mataifa ya Africa na kama hamjuwi basi nibora mjuwe Marekani anatoa ma bilion ya pesa kwenye Afya na elim kwa africa. Ila kwa taarifa zisizo Rasmi Marekani wamekusudia kupunguza misaada kuanzia mwakani kwa mataifa yana support serikali za kiimla na
Vile viroba vya kura ulifikiri wezi walikuwa wanamkomoa Lissu?
 
Vile viroba vya kura ulifikiri wezi walikuwa wanamkomoa Lissu?
Mwambie! 😅
... wamenajisi uchaguzi, halafu haikutosha wamenajisi na bunge ... mambo yamewageuka wanataka kumshirikisha kila mtu!
WAPAMBANE NA HALI ZAO, HILO NGONDO WALILITAKA WENYEWE! 😅
 
Wanaofanya kazi kwenye hizi NGO's hasa USAID na nyingine za magharibi nadhani wajiandae kisaikolojia tu, funds zinaanza kupunguzwa taratibu ila kwa uhakika.

Leo DANIDA wameshafunga ofisi zao bongo, no more funds.
ARV zianze kununuliwa na sio kupewa Bure, chanjo za uviko tuuziwe nk, nk, au nasema uongo ndugu zangu!
 
Sukuma Gang wameyumba sana wanakanyagana tena, jiwe hawezi fufuka tena kwisha habari yenu!!

Mwacheni mama aongoze nchi!! Anafanya vyema sana mara 100 ya Jiwe,,!! Jiwe alikuwa anaongozwa na mihemuko, sifa na visasi!! Hakuwa na sifa za uongozi kabisa!!
 
Tusubiri
kai%20ya%20upandaji%20wa.jpg
 
Na kweli yule bwana asipomtaja mwamba hasikiki kabisa. Saa hizi sijui kapotelea wapi toka alipoibuka na tamko la Mungu kaamua.

Naona huko moja haikai wala mbili haikai. Kweli usipambane na mwenye haki.
 
Upumbavu mtupu umeandika.
Kuyumba kwa uchumi ni tatizo la dunia kwa sasa, hata super power countries zinapitia hali mbaya ya kiuchumi kwa sasa, vita vya Russia Vs Ukraine, Covid 19 vimefanya uchumi wa dunia kuyumba na sio ngonjela zenu hizo mnazoleta.
#Pole pole hana sehemu yake, ameteuliwa kuwa Balozi Malawi ndiko sehemu yake
# Warioba alishafanya kazi yake sasa ni zamu ya wengine
Kilaumiwe kile kigagula cha wamarekano kwa kuendeleza kuchochea vita kwa kugawa siraha kwa wanyonge. Hicho ndo kinazidi kudidimiza uchumi wa dunia
 
Mwamba alale salama.

Kuna mda naona walamba Asali wakirudi Nyuma na kugangamala. 2025 hapatoshi. Nchi imeshaingiwa laana maana wanazani ni Yao peke yao.

Mwamba alipotawala hawakuridhika kabisa. Wakakaa chini na kuunda zengwe kibao ba kupitia Kigogo na BiTozo wakavujisha Siri na kumsimanga mtetezi wetu.
 
Kilaumiwe kile kigagula cha wamarekano kwa kuendeleza kuchochea vita kwa kugawa siraha kwa wanyonge. Hicho ndo kinazidi kudidimiza uchumi wa dunia
Muibe uchaguzi muibe pesa za umma tangu uhuru mje kusingiizia vita inapiganiwa kwingine
 
Mleta Uzi hata usitumie nguvu kuuaminisha umma huu wa watz maana wao husikiliza wanachopenda kusikia.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Usilinganishe Tanzania ya wakati wa Jiwe na Tanzania ya mama kizembe! ... jiulize ni kipi angefanya Jiwe kulainisha hali ya Bongo muda huu!!? ... kwa siasa mbovu za kimataifa za Jiwe, ukichanganya na mitulinga yake, hali ya nchi ingekuwa mbaya kuliko mida hii, ... si ajabu watu wangekuwa wameishaingia barabarani!
Shida yako unaishi kwa nadharia. Hapo ndipo unakosea. Maisha hayako hivyo.

JPM alikuwa hapigiwa simu Moja kwa Moja toka kwa PM wa uchina na viongozi wengi walikuwa wanakuja hapa bongo.

Propaganda za wa havidhina hazikuzaa matunda. Mwamba alikuwa naichapa kazi kisawasawa.

Sasa hivi hatujui hata Nini kinaendelea? Sijui ndio huto tumtungi twa gesi ya siku Mbili?
 
Mleta Uzi hata usitumie nguvu kuuaminisha umma huu wa watz maana wao husikiliza wanachopenda kusikia.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Uchaguzi na pesa za umma ndo vinamiliki ardhi ya mafuta na ngano?
Sijakulewa unajalibu kujenga hoja kutetea wizi wa wana ccm tangu tumepata uhuru kwamba hakuna conectin na kupanda kwa mafuta na nfumuko wa bei au nimekuelewa vibaya?
 
Hujuwi ulisemalo. Nyumba ilio jengwa kwa bei nafuu na masingi ukawa legelege mtikisiko tu nyumba chini. Mataifa yalio na shield ya uchumi wao hawana shida kazi kwetu wa zidumu fkra za mwenyekiti. Tunazama tukijiona kuendesha Taifa ni maarifa walansio mbwembwe na kuwananga walio pita. Sisi kama Taifa tuna safari ndefu na hatupaswi kupiga mapambio while kesho kuna msiba mzito kuliko wa mwaka 2021. Siasa hizi tusipo kuwa na macho ya rohoni zitaliangamiza hili taifa. Haya
Italy nayo ni legelege siyo?
 
Back
Top Bottom