KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Ulitaka wakulima washindwe hata kuvaa nguo mpya kwa kuwanyima masoko bora kama alivyofanya merehemu?.Hali ya uchumi na mfumuko wa Bei vilianza kabla ya hii vita, hii vita no chaka la kujifichia.
Hali ni mbaya sana serikalini, ni muda tu mtapata majibu.
Kuna vuta nikuvute nguo ichanike.
Mama na jopo lake nchi imewashinda mapema mno.
Acha kila mtu afaidi kazi ya nguvu zake.