Yajayo yanafurahisha kwa kila Mtanzania, tutaita maji mma. Marehemu hakashifiwi!

Hali ya uchumi na mfumuko wa Bei vilianza kabla ya hii vita, hii vita no chaka la kujifichia.

Hali ni mbaya sana serikalini, ni muda tu mtapata majibu.

Kuna vuta nikuvute nguo ichanike.

Mama na jopo lake nchi imewashinda mapema mno.
 
Amekufa hatutaki raisi muua watu.nani alimua Anzory Gwanda?
Hii ni habari ya Mwaka huu.
====
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake.

====

Dar es Salaam. Fears have gripped parents and relatives of five young men who have reportedly gone missing for over three weeks now.

The five young men, who are described as Kariakoo traders, went missing since December 26 when they left for a beach party in Kigamboni.

Some relatives said they received the last communication from the young men that they had been arrested by the police but their whereabouts remains a mystery.

“We have visited various police stations, hospitals and even morgues but got no clue yet,” said Mr Longili Martin, father of one of the disappeared young men.

“As I speak to you, I’ve just been at Msimbazi and Central Police stations to see if there was any development. Unfortunately, there is none. The police only say that they are investigating,”he said.

Mr Martin, a resident of Gongolamboto explained that he last communicated with his son Edwin Kunambi on December 23, when he invited the son for Christmas celebrations. According to him, Edwin told him that he would not join the family because he would be busy and promised to join them on New Year Day.

When contacted, Dar es Salaam Regional Police Commander Jummane Muliro said he was aware of the missing young men and police were currently conducting investigations into the matter.

He denied claims that they had arrested the men whom they are now looking for.

“Some family members have reported the matter to the police and we are saying that not every missing person is arrested by the police. Not every missing person is dead, several times children go missing and they are found somewhere else…. Therefore when a person goes missing people should be patient,” he said.

According to him, when he was Shinyanga and Mwanza RPC, almost every day people would go to the mines, stay there for six months and come back after they failed to get what they expected.

“When police arrest people, we normally announce so that family members would be aware of their whereabouts,” he said.

Ms Sylvia Quentin, a relative of one of the missing young men called Tawfiq Mohamed, stressed that they have visited every police station, hospital and morgue more than twice, but all has been in vain.

“We cannot continue like this, today we are planning to demonstrate to the Minister for Home Affairs and see how he can help us,” she said.

Ms Tabu Saidi told The Citizen that her son Rajab Mdoe went to her house in Kinyerezi on December 26, asked for a car so that he could go to the beach in Kingamboni with friends for a party.

“I remember it was around 2 in the afternoon, when he came and took the car. When it was past midnight, I decided to call him but his phone was unanswered. It did not bother me, because I knew he would come back but I became suspicious when he did not return until morning,” she said.

According to her, she tried to call his phone in the morning and unfortunately, it was not reachable.

She added that on December 27, two of her son’s friends went to her house, to inform that her son had been arrested by the police when they were going to the beach.

“I have reported the matter to the police stations, gone through all hospitals and morgues but there is no clue,” she said, adding that she was helpless as what to do next.
 
Mtu akishakufa amekufa, acheni kuabudu mizimu, kwani kabla hajawa raisi mliishije, na alipokuwa raisi maisha ya yalikuawaje?? Mbona maisha ni yale yale,propaganda za uchumi wa kati zilitulevya. Ilimradi Mungu yupo hakuna baya litakalo tupata licha za hizo ramli zetu
 
Vile viroba vya kura ulifikiri wezi walikuwa wanamkomoa Lissu?
 
Vile viroba vya kura ulifikiri wezi walikuwa wanamkomoa Lissu?
Mwambie! 😅
... wamenajisi uchaguzi, halafu haikutosha wamenajisi na bunge ... mambo yamewageuka wanataka kumshirikisha kila mtu!
WAPAMBANE NA HALI ZAO, HILO NGONDO WALILITAKA WENYEWE! 😅
 
Wanaofanya kazi kwenye hizi NGO's hasa USAID na nyingine za magharibi nadhani wajiandae kisaikolojia tu, funds zinaanza kupunguzwa taratibu ila kwa uhakika.

Leo DANIDA wameshafunga ofisi zao bongo, no more funds.
ARV zianze kununuliwa na sio kupewa Bure, chanjo za uviko tuuziwe nk, nk, au nasema uongo ndugu zangu!
 
Pamoja kwamba huyu Rais hafai ila ana unafuu zaidi kuliko sikuma gang na CCM yote kwa ujumla...labda atoke rais ambaye hafungani na vyama vikubwa hatayumbishwa.
 
Sukuma Gang wameyumba sana wanakanyagana tena, jiwe hawezi fufuka tena kwisha habari yenu!!

Mwacheni mama aongoze nchi!! Anafanya vyema sana mara 100 ya Jiwe,,!! Jiwe alikuwa anaongozwa na mihemuko, sifa na visasi!! Hakuwa na sifa za uongozi kabisa!!
 
Na kweli yule bwana asipomtaja mwamba hasikiki kabisa. Saa hizi sijui kapotelea wapi toka alipoibuka na tamko la Mungu kaamua.

Naona huko moja haikai wala mbili haikai. Kweli usipambane na mwenye haki.
 
Kilaumiwe kile kigagula cha wamarekano kwa kuendeleza kuchochea vita kwa kugawa siraha kwa wanyonge. Hicho ndo kinazidi kudidimiza uchumi wa dunia
 
Mwamba alale salama.

Kuna mda naona walamba Asali wakirudi Nyuma na kugangamala. 2025 hapatoshi. Nchi imeshaingiwa laana maana wanazani ni Yao peke yao.

Mwamba alipotawala hawakuridhika kabisa. Wakakaa chini na kuunda zengwe kibao ba kupitia Kigogo na BiTozo wakavujisha Siri na kumsimanga mtetezi wetu.
 
Kilaumiwe kile kigagula cha wamarekano kwa kuendeleza kuchochea vita kwa kugawa siraha kwa wanyonge. Hicho ndo kinazidi kudidimiza uchumi wa dunia
Muibe uchaguzi muibe pesa za umma tangu uhuru mje kusingiizia vita inapiganiwa kwingine
 
Mleta Uzi hata usitumie nguvu kuuaminisha umma huu wa watz maana wao husikiliza wanachopenda kusikia.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Shida yako unaishi kwa nadharia. Hapo ndipo unakosea. Maisha hayako hivyo.

JPM alikuwa hapigiwa simu Moja kwa Moja toka kwa PM wa uchina na viongozi wengi walikuwa wanakuja hapa bongo.

Propaganda za wa havidhina hazikuzaa matunda. Mwamba alikuwa naichapa kazi kisawasawa.

Sasa hivi hatujui hata Nini kinaendelea? Sijui ndio huto tumtungi twa gesi ya siku Mbili?
 
Mleta Uzi hata usitumie nguvu kuuaminisha umma huu wa watz maana wao husikiliza wanachopenda kusikia.

TIME HEALS ALL WOUNDS
 
Uchaguzi na pesa za umma ndo vinamiliki ardhi ya mafuta na ngano?
Sijakulewa unajalibu kujenga hoja kutetea wizi wa wana ccm tangu tumepata uhuru kwamba hakuna conectin na kupanda kwa mafuta na nfumuko wa bei au nimekuelewa vibaya?
 
Italy nayo ni legelege siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…