Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

..elewa wewe bundi, aliyekuleta hapa duniani lipo jukumu alikupa ufanye, utakuwa mpumbavu sawa na hayawani km hadi umri huo ulio nao unadhani ukifanya jambo lazima iwe ni kwa faida ya unaowaona..utakufa km mzoga wa bundi! mshirikina mkubwa wewe, waache wanaojua jukumu linalofanya waendelee kuwepo duniani watimize homework yao..wewe endelea kula na kwenda chooni hii dunia ni yako!

Nieleze tabia za Bundi, ni kitu gani. Hapo kwenu alikuwa anafanyaje baada ya kukuzaa
 
Aliyeturoga nadhani ni huu wanaita mwenge wa uhuru.
Ambapo kimsingi hakuna uhuru wowote.
Inabidi ifike hatua tuukatae sasa ili akili zetu zirudi.
 
Sabato Njema!

Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo.

Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia;

1. Watanzania wengi ni wanafiki.
Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na kukusaliti.
Hivi ni kumaanisha kama harakati zako zitategemea watanzania kuwa Front kukuunga mkono basi kufanikiwa kwako ni chini ya asilimia 20.

2. Watanzania wengi ni Wategeaji
Mambo ambayo ni wajibu wao kufanya wanapenda kufanyiwa na watu wengine. Na mtu ambaye ni mtegeaji anabeba sifa nyingine ya Ulalamishi.

Utategewa uwapiganie Haki zao alafu wenyewe wamekaa zao nyumbani. Ukifanikiwa watakupongeza na kujifanya wanakujua. Ukifeli wanakutelekeza.

3. Watanzania ni Walalamishi.
Watu wategaji na tegemezi kikawaida huwa walalamishi.

4. Watanzania wengi wana roho mbaya.
Moja ya sifa ya roho mbaya ni kutokuguswa wala kuchukua hatua pale mambo mabaya yanapokumba wengine.
Mfano, unaweza ukakamatwa hapo na watu wasiojulikana na Watanzania wakawa wanatazama tuu wasifanye chochote.

5. Watanzania wengi ni wabinafsi
Wanalaumu tuu viongozi kuwa ni wabinafsi lakini ukitazama asilimia tisini ya Watanzania ni wabinafsi.
Ogopa mtu ambaye hataki kupigania haki yake kisa anaogopa Kufa. Ogopa mtu wa aina hiyo na kamwe usije ukathubutu kumpigania au kumtetea mtu wa aina hiyo.


6. Watanzania sio watu wa haki ndio Maana hawana Visasi.
Mtu yoyote anayependa kulipa Kisasi huyo anapenda Haki.
Kisasi ni tafsiri ya Haki.
Watanzania wengi unaweza kuwaswaga kama ng'ombe ukawaumiza sana. Lakini mwisho wa siku ukija kujifanya unaomba msamaha yanasahau. Ni watu wasio na akili, wasio na haki.

Ndio maana viongozi wengi huweza kufanya mabaya lakini wakistaafu huweza kushangiliwa wakiingia sehemu unaweza kusema hawakufanya ubaya.

Kamwe usijetetea mtu asiyependa Haki, mti asiye na kisasi. Mtu asiyejua thamani ya msamaha hupotosha Haki.

7. Watanzania wengi ni wasahaulifu.
Mtu asiye na haki ni msahaulifu kwa sababu akili ipo chini. Ni kama Nyumbu.
Na sifa ya usahaulifu inazaa sifa ya kukosa shukurani.
Usijetetea mtu msahaulifu ambaye kimsingi hawezi kuwa na shukurani.

Kwa leo ni hayo tuu!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hata wewe unatulalamikia sisi wategeaji
 
Ni upuuzi kuwaponda watanzania wenzako. Mtu kama wewe huwezi kuaminika kwa nafasi za uongozi wa nchi.

Watanzania wengi. Sijawaponda wote.
Kama upo sehemu ya hao wengi sawa.

Unafikiri kila mtu anahitaji kuaminika? Uaminifu wa mtu upo kwake mwenyewe sio kwa watu wanaomzunguka
 
8.wanapenda connection za video za NGONO kuliko hata ugali

9.wanafurahia Sana video za kuchekesha comedy

10.hakuna njaa Tanzania
11. Wanaridhika na vitu rahisi rahisi! Mtu akiwa na uwezo wa kununua dona dagaa inakua imetosha kwake!
 
Pesa hata CR7 anazihitaji, siini kwanini huyo mzee asilalamike.

Asipopata pesa ya mgombea anayo haki kulalamika kwasababu kwa miaka mitano ijayo hatopata chochote.

Na kwalua hakupata tarehe 29 october akae nyumbani asijipotezee muda, ailinde kura yake hapo nyumbani.
 
Pesa hata CR7 anazihitaji, siini kwanini huyo mzee asilalamike.

Asipopata pesa ya mgombea anayo haki kulalamika kwasababu kwa miaka mitano ijayo hatopata chochote.

Na kwalua hakupata tarehe 29 october akae nyumbani asijipotezee muda, ailinde kura yake hapo nyumbani.
Kumbe wewe ndiyo uyo mzee
 
Back
Top Bottom