Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania


Nieleze tabia za Bundi, ni kitu gani. Hapo kwenu alikuwa anafanyaje baada ya kukuzaa
 
Aliyeturoga nadhani ni huu wanaita mwenge wa uhuru.
Ambapo kimsingi hakuna uhuru wowote.
Inabidi ifike hatua tuukatae sasa ili akili zetu zirudi.
 
Hata wewe unatulalamikia sisi wategeaji
 
Ni upuuzi kuwaponda watanzania wenzako. Mtu kama wewe huwezi kuaminika kwa nafasi za uongozi wa nchi.

Watanzania wengi. Sijawaponda wote.
Kama upo sehemu ya hao wengi sawa.

Unafikiri kila mtu anahitaji kuaminika? Uaminifu wa mtu upo kwake mwenyewe sio kwa watu wanaomzunguka
 
8.wanapenda connection za video za NGONO kuliko hata ugali

9.wanafurahia Sana video za kuchekesha comedy

10.hakuna njaa Tanzania
11. Wanaridhika na vitu rahisi rahisi! Mtu akiwa na uwezo wa kununua dona dagaa inakua imetosha kwake!
 
Hili niligundua baada ya Mzee niliyekuwa namuheshimu kumsikia akilaumu serious kuwa mgombea UBUNGE amekuja hajawapa pesa 🥲
 
Pesa hata CR7 anazihitaji, siini kwanini huyo mzee asilalamike.

Asipopata pesa ya mgombea anayo haki kulalamika kwasababu kwa miaka mitano ijayo hatopata chochote.

Na kwalua hakupata tarehe 29 october akae nyumbani asijipotezee muda, ailinde kura yake hapo nyumbani.
 
Kumbe wewe ndiyo uyo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…