kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,388 Reaction score 16,188 Sep 25, 2025 #41 Hao ndiyo watanzania tunaowategemea kwenye maandamano, inatia mashaka
Labyrinth 84 JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 1,514 Reaction score 4,531 Sep 26, 2025 #42 FK21 said: Hili niligundua baada ya Mzee niliyekuwa namuheshimu kumsikia akilaumu serious kuwa mgombea UBUNGE amekuja hajawapa pesa 🥲 Click to expand... Huyo mzee uliyekuwa ukimpa heshima ndio kigezo cha akili ya watanzania wote ? Labda ungesema wewe una akili ndogo zaidi kwasababu ulimpa heshima mtu mwenye akili ndogo.
FK21 said: Hili niligundua baada ya Mzee niliyekuwa namuheshimu kumsikia akilaumu serious kuwa mgombea UBUNGE amekuja hajawapa pesa 🥲 Click to expand... Huyo mzee uliyekuwa ukimpa heshima ndio kigezo cha akili ya watanzania wote ? Labda ungesema wewe una akili ndogo zaidi kwasababu ulimpa heshima mtu mwenye akili ndogo.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Sep 26, 2025 #43 Ukishangaa hilo utashangaa zaidi watu bado wanaweka pesa zao CRDB 🤣🤣🤣
Agent-47 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 786 Reaction score 2,860 Sep 26, 2025 #44 Baadhi????? Takwimu zako haziko sawa.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Sep 26, 2025 #45 FK21 said: Kumbe wewe ndiyo uyo mzee Click to expand... Hujakosea.
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 Oct 6, 2025 Thread starter #46 Kiranga said: Ukishangaa hilo utashangaa zaidi watu bado wanaweka pesa zao CRDB 🤣🤣🤣 Click to expand... Hatari sana
Kiranga said: Ukishangaa hilo utashangaa zaidi watu bado wanaweka pesa zao CRDB 🤣🤣🤣 Click to expand... Hatari sana