Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,521
- 1,906
Huu siyo wenyewe mmea namba mbili ni ule maarufu siku hizi za CORONA kwa jina la KASHWAGALA unatibu magonjwa mengi ila kama una PRESHA wanasema inabidi uwe makini - Unapandisha Presha (Sina uhakika na hili). Lakini hii picha siyo yenyewe kabisa, hivyo kuwa makiniNimeona majani yanayofanana na hayo majani aliotuonesha mdau...
Yenyewe hii hapa Chini