Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Mimi ni shuhuda wa hilo Jani la pili,,, sinywi dawa za vidonda vya tumbo siku hizi,imekuwa Kama utaratibu wangu nakunywa kila baada ya miezi miwili kwa siku tano . Na hata wakati wa covid tumelitumia Sana home kwa ajili ya covid.
 
Mimi sikuelewa nisaidie. Unachagua moja kati ya hayo au unachuma aina zote 2 na unachanganya pamoja?

JamiiForums mobile app
 
Hilo jani namba mbili ni jani zuri sana kwa ulimwengu wa sasa ,hupaswi kulikosa katika nyumba yako ,maana yanaota kila mahali na wengi wanayatumia kama fensi

Mbali na kutibu madonda ya tumbo kama mdau. alivyo sema,mmea huu unatibu UTI ,Kwa dunia ya sasa huwezi maliza Mwezi hujaugua UTI AU MARALIA,so ukiwa na mti huu ni faida kubwa sana kwako maana utakuepusha na matumizi ya vidonge kila Mara

Lakini pia mti mwingine muhimu ni mlonge nao ni mzuri sana kwa tiba ya malaria na vidonda vya tumbo

Matumizi ya mmea huu kwa kutibu UTI ni kuchuma majani na kuyachemsha kisha unayatoa majani unabaki na kimiminika ,ukiacha kuyatoa ya kuwa na kauchungu kakali sana
IMG_20201014_102800_6.jpg
 
Hilo jani namba mbili ni jani zuri sana kwa ulimwengu wa sasa ,hupaswi kulikosa katika nyumba yako ,maana yanaota kila mahali na wengi wanayatumia kama fensi

Mbali na kutibu madonda ya tumbo kama mdau. alivyo sema,mmea huu unatibu UTI ,Kwa dunia ya sasa huwezi maliza Mwezi hujaugua UTI AU MARALIA,so ukiwa na mti huu ni faida kubwa sana kwako maana utakuepusha na matumizi ya vidonge kila Mara

Lakini pia mti mwingine muhimu ni mlonge nao ni mzuri sana kwa tiba ya malaria na vidonda vya tumbo

Matumizi ya mmea huu kwa kutibu UTI ni kuchuma majani na kuyachemsha kisha unayatoa majani unabaki na kimiminika ,ukiacha kuyatoa ya kuwa na kauchungu kakali sanaView attachment 1599638
Shukrani mkuu....
 
Kama kuna anayepata taabu na vidonda vya tumbo nitafte inbox nikupe no. kwa dawa hii usipopona basi wewe utakuwa na tatizo jingine.Kama mimi nimepona kwa nini wewe usipone.
 
Back
Top Bottom