Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Nimeona majani yanayofanana na hayo majani aliotuonesha mdau...
Huu siyo wenyewe mmea namba mbili ni ule maarufu siku hizi za CORONA kwa jina la KASHWAGALA unatibu magonjwa mengi ila kama una PRESHA wanasema inabidi uwe makini - Unapandisha Presha (Sina uhakika na hili). Lakini hii picha siyo yenyewe kabisa, hivyo kuwa makini

Yenyewe hii hapa Chini
 
Ndio maana nimekuwa nahukumiwa nafsini, kuona nimepona gonjwa ambalo watu wanapoteza pesa nyingi na kuwa nimekaa kimya miaka inaenda na sijasaidia mtu yeyote. Atleast kwa sasa nimejaribu.
Mungu akubariki ninayatufuta hayo majani nami nijianzishie dozi
 

Haya ni mavumbasi?
Huku dar wanayaita?
 
Mkuu MTUBAKI, hayo majani ya kwanza nimeyaelewa lakini hayo ya pili mapana je ni yale ambayo ni machungu sana na wakati mwingine pia yanatumika kama dawa ya malaria na dawa ya tumbo?
 
Wadau

Kuna yeyote alieandaa hii dawa na kuitumia tupate mrejesho hapa jamvini

Wasalaam
 
Wana jamiiforums naomba msaidie kumpata yule member ambaye jana alikuwa akitangaza dawa ya vidonda vya tumbo na kuweka picha ya majani yake, kama yupo karibu namuomba pm au kama kuna mtu alichukua namba zake msaada please, ahsanteni
JF ina sharti la kutuma picha lazma size iwe ndogo kitu ambacho kinaathiri resolution ya picha na picha kutoka kwenye muonekano wake wa awali nicheki kwenye 0625680616 nikufowadie kwa watsup.
 
Huu sio mchicha sheik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…