Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Haya majani ni kiboko sana,hata kama unaumwa tumbo,ukiyatafuna tu.tumbo linaacha kuuma kabisa aisee.
 
Ndio maana nimekuwa nahukumiwa nafsini, kuona nimepona gonjwa ambalo watu wanapoteza pesa nyingi na kuwa nimekaa kimya miaka inaenda na sijasaidia mtu yeyote. Atleast kwa sasa nimejaribu.
mkuu naomba unisaidie nayapataje nakuomba sana nielekeze ulikoyapata au unipeleke kwa gharama zangu ntashukuru ,kuu
 
Kama kuna anayepata taabu na vidonda vya tumbo nitafte inbox nikupe no. kwa dawa hii usipopona basi wewe utakuwa na tatizo jingine.Kama mimi nimepona kwa nini wewe usipone.
Sikupati ,,pls nicheki nikupigie serious 0752661812
 
Haya majani ni kiboko sana,hata kama unaumwa tumbo,ukiyatafuna tu.tumbo linaacha kuuma kabisa aisee.
Nakiri wazi kabisa,,nimemtumia masaa mawili vimetulia kaaabisa Vidonda kesho siku ya pili natumia,,

Asante Saana mtoa nada Barikiwa ndugu
 
mkuu naomba unisaidie nayapataje nakuomba sana nielekeze ulikoyapata au unipeleke kwa gharama zangu ntashukuru ,kuu
Ufaham huu niliotoa hapo ulilenga kukuwezesha wewe kupata tiba toka katika mazingira yako na sio mimi kukuletea tiba. Hata kesho nisipokuwepo najua jukwaa hili litakuwepo litakufaa na litawafaaa wengine pia. Majani hayo huota pembezoni mwa vijito au maeneo nyevu.
 
Back
Top Bottom