mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Sheria zipo tu ila leseni unaletewa tu nyumbani hakuna cha jusomea wala niniHapa Kwenye Boda Boda imekaa vyema Sana hawa wajinga wanakufa kilasiku Kwa uzembe wa wao na traffic pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zipo tu ila leseni unaletewa tu nyumbani hakuna cha jusomea wala niniHapa Kwenye Boda Boda imekaa vyema Sana hawa wajinga wanakufa kilasiku Kwa uzembe wa wao na traffic pia
Kwenye kifungu hicho hicho shuka chini, wamefafanua hapo kaka!....
Hiyo hapo juu ni sawa lakini kuongea na simu lazima kufafanua kwakuwa naweza kuongea kupitia loud speaker bila kuishika
Ila hawa wenzetu ni ngumu Sana kufuata SheriaKwamba wakisoma driving school na kuwa na leseni ajali zitapungua?