mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Sep 15, 2021 #21 pureView Zeiss said: Hapa Kwenye Boda Boda imekaa vyema Sana hawa wajinga wanakufa kilasiku Kwa uzembe wa wao na traffic pia Click to expand... Sheria zipo tu ila leseni unaletewa tu nyumbani hakuna cha jusomea wala nini
pureView Zeiss said: Hapa Kwenye Boda Boda imekaa vyema Sana hawa wajinga wanakufa kilasiku Kwa uzembe wa wao na traffic pia Click to expand... Sheria zipo tu ila leseni unaletewa tu nyumbani hakuna cha jusomea wala nini
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Sep 15, 2021 #22 Mshana Jr said: ... Hiyo hapo juu ni sawa lakini kuongea na simu lazima kufafanua kwakuwa naweza kuongea kupitia loud speaker bila kuishika Click to expand... Kwenye kifungu hicho hicho shuka chini, wamefafanua hapo kaka!.
Mshana Jr said: ... Hiyo hapo juu ni sawa lakini kuongea na simu lazima kufafanua kwakuwa naweza kuongea kupitia loud speaker bila kuishika Click to expand... Kwenye kifungu hicho hicho shuka chini, wamefafanua hapo kaka!.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Sep 15, 2021 #23 Chaliifrancisco said: Kwamba wakisoma driving school na kuwa na leseni ajali zitapungua? Click to expand... Ila hawa wenzetu ni ngumu Sana kufuata Sheria
Chaliifrancisco said: Kwamba wakisoma driving school na kuwa na leseni ajali zitapungua? Click to expand... Ila hawa wenzetu ni ngumu Sana kufuata Sheria