Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
HYO tecnolojia iliyoongezeka Je kila mtu ana access nayo?Sasa hivi technology imeongezeka hayo matangazo ni ya karne ya 18 huko sio sasa hivi wazungu wanaweza kukuonyesha picha ya kiwanda chako wakiwa South Korea..
Meli yetu ya Mv Bukoba ilipoleta tatizo na kuua watu wengi wataalamu walikuja na sababu ilijaza watu wengi ikapinduka Mabeberu wakaja na picha za satellite wakionesha ilipoanzia tatizo mpaka kwenda kugonga mwamba mimi hayo matangazo najua yapo kupunguza usumbufu ila sio ikitakiwa picha mtu atashindwa kuipata sio kweli..
Mkishashiba mnaandika chochote Dunia imeenda kasi sana kuliko udumavu wenu leo hii nipo SA nafungua gate la nyumba Mwanza au Misri mtu anaingia na gari yake anatoka mnazungumzia picha aisee na kuangalia kila kinachofanyika Kariakoo live mpo na mambo ya picha kweli..HYO tecnolojia iliyoongezeka Je kila mtu ana access nayo?
Hyo picha za kiwanda zinazopigwa Kutokea korea ,
Je kila mkorea raia anaweza kupiga?
Ukweli unabaki pale pale maeneo yaliyokatazwa kupiga picha ,nchi yeyote Duniani yapo,hata nchi zilizoendelea na zinazotengeneza hizo tecnolojia baadhi ya maeneo hurusiwi kabisa kupiga picha wala kuendesha ki drone.
Kama unajua ni kupunguza usumbufu na sii sababu zaidi ya usumbufu,basi ufahamu ndo ulipokwamia hapo sio kosa.
Unakuta kuna shamba huko babati eti la jeshi unakuta kibao usipige picha hapa...tumedumaa sana aisee watu hawatengenezi drone wala nini wao kila kitu wanaagiza harafu wapo busy kwa vitu vya kijinga.Mambo ya kale sana. Moja ya dalili ya watu incompetent ni kutojua kipi cha kuzuia na kipi si cha kuzuia, kipi siri na kipi siyo siri mwisho ili wawe safe wanaamua kuzuia vyote.