Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Asante kwa taarifa,kuliko nijifanye mjuaji bora ulivoandika yasije nikuta.
Umenena vyemaSasa hivi technology imeongezeka hayo matangazo ni ya karne ya 18 huko sio sasa hivi wazungu wanaweza kukuonyesha picha ya kiwanda chako wakiwa South Korea..
Meli yetu ya Mv Bukoba ilipoleta tatizo na kuua watu wengi wataalamu walikuja na sababu ilijaza watu wengi ikapinduka Mabeberu wakaja na picha za satellite wakionesha ilipoanzia tatizo mpaka kwenda kugonga mwamba mimi hayo matangazo najua yapo kupunguza usumbufu ila sio ikitakiwa picha mtu atashindwa kuipata sio kweli..
Sikio lisije kukiponza kichwa kizimaAsante kwa taarifa,kuliko nijifanye mjuaji bora ulivoandika yasije nikuta.
Nyumbani kweni hakuna ulinzi?Ungeandika tu maeneo yenye ulinzi
Sasa nchi hata kiwanda cha kutengeneza electronics component tu kama capacitor hakuna watajua wapi? Sembuse IC sometimes unawaacha tu.Mkishashiba mnaandika chochote Dunia imeenda kasi sana kuliko udumavu wenu leo hii nipo SA nafungua gate la nyumba Mwanza au Misri mtu anaingia na gari yake anatoka mnazungumzia picha aisee na kuangalia kila kinachofanyika Kariakoo live mpo na mambo ya picha kweli..
Sisi hatuna jeshi, tuna watu tu wanakaa makambini na nguo za mabaka mabakaUnakuta kuna shamba huko babati eti la jeshi unakuta kibao usipige picha hapa...tumedumaa sana aisee watu hawatengenezi drone wala nini wao kila kitu wanaagiza harafu wapo busy kwa vitu vya kijinga.
Hii ni maajabu!!!Sisi hatuna jeshi, tuna watu tu wanakaa makambini na nguo za mabaka mabaka
Ndio upumbavu wa kauli za kijinga kama zidumu fikra za mwenyekiti. Kwasababu Nyerere alikataza mwaka 1972, basi hadi leo wanadumisha katazo bila kujalisha maendeleo ya sayansi na teknolojiaUjima na ujinga,picha dunia ya leo haina uwezo wa kuzuia chochote,teknolojia imebadilika mno ila sie bado tuko 1970 huko
Nguo zao na viatu vinatoka China wakiamua kuweka Camera kwenye buti zao si inawezekana aisee harafu wapo busy usipige picha ukuta..Sisi hatuna jeshi, tuna watu tu wanakaa makambini na nguo za mabaka mabaka
Mazuzu kabisaNguo zao na viatu vinatoka China wakiamua kuweka Camera kwenye buti zao si inawezekana aisee harafu wapo busy usipige picha ukuta..
Hapa wengi tumepiga picha hata hakuna mfanyakazi wa maeneo hayo aliyetuzuia, si nje ya uuwanja si ndani ya uwanja hata kwenye mahandaki ya kupandia ndegeJulius Nyerere International Airport (JNIA) — hasa maeneo ya security-restricted, runway na miundombinu ya uwanja.
Asante kwa kunielimishaKabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo hupaswi kupiga picha bila ruhusa, na baadhi yana restrictions maalumu, hasa maeneo ya kijeshi na sehemu za usalama za viwanja vya ndege. Serikali ya Marekani pia inaonya kwamba maeneo ambayo upigaji picha umepigwa marufuku Tanzania si mara zote yana alama.
Kwa Dar es Salaam, orodha ya maeneo 20 ya kuwa mwangalifu ni:
- Ikulu / State House, Dar es Salaam — epuka kupiga picha za jengo na mifumo ya ulinzi bila ruhusa.
- Kambi na vituo vya JWTZ — upigaji picha wa vituo vya ulinzi unaweza kuzuiwa kisheria.
- Makao au vituo vya polisi — hasa kupiga picha za ndani, askari, magari au shughuli za kiusalama.
- Julius Nyerere International Airport (JNIA) — hasa maeneo ya security-restricted, runway na miundombinu ya uwanja.
- Bandari ya Dar es Salaam — maeneo ya operation/security ya bandari. Hata Feri ya Magogoni kwenda Kivukoni huruhusiwi kabisa kupiga picha, wale askari migambo wakiotea lazima wakusumbue sana.
- Magereza ya Dar es Salaam — hasa ndani, mageti na miundombinu ya ulinzi.
- Majengo ya Wizara na Serikali — hasa maeneo yenye ulinzi au miundombinu nyeti.
- Mahakama na maeneo yenye shughuli za kiusalama — omba ruhusa kabla ya kupiga picha za ndani au za kiusalama.
- Ubalozi wa nchi za kigeni — epuka kupiga picha za mageti, walinzi na security installations.
- Makazi rasmi ya viongozi wakuu wa Serikali — usilenge nyumba/makazi au ulinzi bila ruhusa.
- Vituo vya mawasiliano ya kijeshi/usalama — antena, minara na miundombinu yake.
- Miundombinu ya kijeshi kwenye maeneo ya jiji — hata kama iko karibu na barabara ya umma.
- Vituo vya kudhibiti ndege/air-traffic facilities — hasa maeneo yasiyoruhusiwa kwa umma.
- Runway na maeneo ya aircraft operations JNIA — usipige picha ukiwa kwenye restricted area bila ruhusa.
- Vituo vya nishati vya kimkakati — kama vituo muhimu vya umeme na miundombinu inayolindwa.
- Miundombinu muhimu ya bandari — cranes, control/security facilities na maeneo yaliyowekewa restriction.
- Vituo vya mafuta vya kimkakati — hasa maeneo ya kuhifadhi mafuta yenye ulinzi.
- Madaraja au miundombinu ambayo imewekewa restriction ya usalama — usidhani kwamba kwa kuwa uko barabarani basi kila picha inaruhusiwa; watu wamewahi kuzuiliwa kwa kupiga picha za madaraja na maeneo ya viwanda.
- Maeneo ya viwanda yenye miundombinu nyeti — hasa kama kuna walinzi au alama za kutoruhusu upigaji picha.
- Maeneo yoyote yenye alama “NO PHOTOGRAPHY / PHOTOGRAPHY PROHIBITED” — hili ndilo rahisi zaidi: usiipuuze alama hiyo, hata kama eneo linaonekana kuwa la kawaida.
⚠️ Jambo muhimu kuhusu simu
Kuwa unapiga picha kwa simu badala ya kamera kubwa hakumaanishi moja kwa moja kwamba inaruhusiwa. Sheria/kanuni zinaweza kulenga kitendo cha kuchukua picha yenyewe. Kwa mfano, kanuni za maeneo ya ulinzi zinaweza kumpa mamlaka anayehusika kuzuia kuchukua, kutengeneza au hata kumiliki picha/sketch/plan ya defence establishment.
🚁 Na kama ni drone?
Hapo masharti ni makali zaidi. TCAA inasema drone zinahitaji approval/permit, na maeneo yaliyotajwa kama restricted/prohibited ni pamoja na military installations, State House, prisons, airports/airfields, government facilities na crowded public areas bila ruhusa maalumu.
Kwa hiyo, ukiwa Dar es Salaam na unaona eneo la kijeshi, polisi, Ikulu, uwanja wa ndege, gereza, bandari au miundombinu nyeti, kanuni salama ni: usilenge eneo hilo kwa kamera mpaka upate ruhusa.
Ohhhh....Nyumba za wageni, ni mafuruku kupiga picha
Jengo la AU pale Adis Ababa wachina walijenga na wakaweka vifaa vya kusikiza.Nguo zao na viatu vinatoka China wakiamua kuweka Camera kwenye buti zao si inawezekana aisee harafu wapo busy usipige picha ukuta..
WakaribishwaAsante kwa kunielimisha