King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Watu wanapiga Picha Pentagoni na White House fresh na hakuna tatizo ndiyo itakuwa hayo MATAKATAKA ya Shit hole country?
Wanakushikilia, abiria wote wakishuka wanakukamua vijisenti vyakoUsije ukapiga picha ukipanda Feryy kigamboni,walitaka kunitoa roho.