Yajue maeneo ambayo ni marufuku kupiga picha Dar es Salaam

Umenena vyema
 
Sasa nchi hata kiwanda cha kutengeneza electronics component tu kama capacitor hakuna watajua wapi? Sembuse IC sometimes unawaacha tu.
 
Ujima na ujinga,picha dunia ya leo haina uwezo wa kuzuia chochote,teknolojia imebadilika mno ila sie bado tuko 1970 huko
Ndio upumbavu wa kauli za kijinga kama zidumu fikra za mwenyekiti. Kwasababu Nyerere alikataza mwaka 1972, basi hadi leo wanadumisha katazo bila kujalisha maendeleo ya sayansi na teknolojia
 
Hizo ni zama za kale katika zama hizi.
Unakata walalahoi kupiga picha ili hali smart devices zote - simu, TV, saa, n.k zinachukua picha, sauti na kuwapatia wanaozihitaji muda wote - na ambao wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi.

Hiyo Apple, Samsung n.k yako inarekodi kila kitu na kutuma
 
Asante kwa kunielimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…