Yajue magari makubwa zaidi duniani

Anadhani kila mwana JF kazaliwa juzi
 
Bujibuji nilikua naangalia kama wachina nao wamo, kumbe hamna kitu.
1 BELAZ: 7571O. BELARUS nchi ndogo toka SOVIETS UNION(ya zamani) lakini ni ndogo kwa watu na ardhi sio kwa technology, BELARUS kitecnology ni vichwa sawa na Russia.
View attachment 1872619
 
Wachina nao wameanza kuyaunda ila bado sana zakwao hazifikia hizi kwa ukubwa
 
Wewe unadhani, ni kwanini hiyo midubwana inazibeba hizo machine..??
Midubwana hiyo ni lazima ibwebwe kwenye matrela, kwasababu hayo ni ma heavyweight hayana mbio, basi yanako hitajika husafirishwa kwa kubebwa na matrela
 
Na
Pale GGM zinazotumika nyingi ni make ya Terex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…