Yajue maisha ya Mbinguni, yana raha isiyo na kifani

Kama unafurahia wali maharage, basi mbinguni kuna zaidi ya wali maharage kwakuwa aliyeumba wali na maharage Mbinguni ndiyo makao yake. Anatuandalia vyakula vitamu zaidi.
Wapi pameandikwa wali utakuwepo. Nimeona matunda tu hapo
 
We bwege sana, ulishafika huko mbinguni!!?
 
Nimesoma maneno yake katika Biblia
Pimbaaf!! Hizo ni hekaya za maisha ya wenyewe tena za kufikirika, kabla hayo mavitabu hayajaletwa kwenye majahazi, mababu zako waliishi vipi na wataenda huko unakodanganywa na mavitabu ya hekaya!!?
 
Sijiamini. Mimi namwamini Yesu na pia naamini Neno lake. Aliyoyasema Yesu yote ni ya kweli
Alisema Yohana sio Yesu... Madam tukifa tumekufa.

Tulikuwa hatupo, tumewepo na hatimaye hautokuwepo tena. Vile wewe unaamini habari za Biblia ndivyo hivo muislam anaamini habari za Quran, vivyo hivyo wahindi nao wana imani yao nk.
Kila mmoja ukimweleza habari tofauti na anaziziamini atakuona mpotovu kama wewe unavyoniona muda huu.
Ni heri jambo usilokua na hakika nalo uache nafasi wazi ili siku likipatikana jibu uweze kulipokea kuliko kujaza jibu la kiimani kwenye nafasi inayokuhusu wewe kama msafiri mhusika.
Leo hii ukizaa mtoto akapotelea huko kwa wabudha au wahindu au waislam unadhani ataamini unachokiamini?
 
Wewe sasa uko upande gani? Kwa Wabudha au Waislam? Mimi nakueleza habari za Yesu kwa sababu nimeiona nguvu ya Yesu na uwezo wake katika maisha yangu. Ndiyo sababu naongea kwa ujasiri habari za Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…