Yajue maisha ya Mbinguni, yana raha isiyo na kifani

Sijasikia,
Naomba nisaidie walisemaje, lini na wapi?
Hautapa faida nikikueleza walisema nini. Heri nikueleze habari za Yesu kuliko kukueleza habari za wafuasi wa shetani.
 
Hautapa faida nikikueleza walisema nini. Heri nikueleze habari za Yesu kuliko kukueleza habari za wafuasi wa shetani.
Mimi sitaki faida nataka ufafanue majibu uliyotoa juu ya hoja yangu.
 
Mkuu hapa duniani unasubiria nini!
 
We Kbobori hutaiona mbingu 😀😀
 
Dini atakayokuwa nayo mtu ni ajali (ya kihistoria na kijiografia) kama kabila/ lugha atakayokuwa nayo. Mtu akizaliwa Mwanza, Shinyanga au Geita kwa wazazi wenye asili ya maeneo hayo kuna uwezekano mkubwa mtu huyo akawa msukuma. Kadhalika atakayezaliwa Tanga uwezekano ni mkubwa atakuwa mdigo, mbondei au msambaa. Vivyo hivyo kwa dini. Atakayezaliwa China kwa asili mia kubwa ataongea kichina na atakuwa mbudha au mshinto. Akizaliwa uarabuni atakuwa muisilamu ilhali atakayezaliwa Afrika atakuwa muisilamu au mkristo. Wa India atakuwa mhindu. Ukristo pia umegawanyika kijiografia. Ujeruman walutheri, Uingereza waanglikana, Italia wakatoliki, Austria wakalvinisti nk. Kwa hiyo, dini ya mtu inategemea, kwa kiasi kikubwa, mahali mtu alipozaliwa na dini ya wazaxi wake. Na hii inazua maswali kuhusu ukweli wa dini.
 
Mkuu hapa duniani unasubiria nini!
Uchoyo wa nini? Waswahili wanasema: kizuri kula na mwenzio.
Nasubiri niwajulishe watu wengi habari hizo njema; watakaokubali tutaenda nao kula hiyo raha ya milele.
 
Uchoyo wa nini? Waswahili wanasema: kizuri kula na mwenzio.
Nasubiri niwajulishe watu wengi habari hizo njema; watakaokubali tutaenda nao kula hiyo raha ya milele.
Wahi, watakukuta mkuu
 
Umka utajikojlea
 
Kama mtapewa miili mipya, sasa hii mnatunza ya nini? kwo Watu wale gambe waue figo na ini?
 
Kama mtapewa miili mipya, sasa hii mnatunza ya nini? kwo Watu wale gambe waue figo na ini?
 
Kama mtapewa miili mipya, sasa hii mnatunza ya nini? kwo Watu wale gambe waue figo na ini?
Mbona hilo swali rahisi? Bila miili hii tungewezaje kukuhabarisha raha ya mbinguni? Yesu alituagiza tuwajulishe mataifa yote habari njema, then the end will come. Hapo ndipo tutakapovikwa miili mipya
 
Mbona hilo swali rahisi? Bila miili hii tungewezaje kukuhabarisha raha ya mbinguni? Yesu alituagiza tuwajulishe mataifa yote habari njema, then the end will come. Hapo ndipo tutakapovikwa miili mipya
Hao wataofufuliwa siku ya mwisho, sindio wataamka na miili yao?
Hakuna mwili mpya, utoke wapi? Jitunzeni walimwengu. Hamtaamini macho yenu siku ya Kiama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…