Yajue Maisha yalivyo jela

Ngoja share kisa mimi na rafik yangu kugombana....
Back 2005 au 2006...rafiki yangu tangu utotoni akiwa Dr binadam wilaya fulani ....alianza mchezo abortion ma binti.....habari zilafikwa kwao.....wakamwita kumkanya sana..( laana) akifanya tena....wazazi swala 5 ile ile....

Jamaa alianza pombe...akawa anaendelea......siku ya siku akaletewa binti amfyatue..wakaenda chumba cha Dr mwenzie wanapiga deal wote......binti kaletwa ba bF wake na shemeji yake .....jamaa wakainfia kazini saa 10 jioni hadi saa 3 ....nyumva kupanga wana.....


Itaendelea
 
Hata usiendelee! Uandishi gani huu usioeleweka..
 
Hapana mkuu kule hakupo hivyo kule majambazi,wauwaji,machinja chinja,navibaka pamoja na waizi wa kuku na wale wenye majeraha wakiwemo na mahabusu wote hukusanywa pamoja

Na wote huenda kukinga chakula sehemu moja/mess
 
Wenyewe wajela jela wanaita " maisha haya.....Jehanamu duniani" ......
Kiukweli sja wai kuskia japo nime shuhudia Kuna watu wakiambiwa mda wao kuishi pale umeisha

hufanya juu chini huko ulaini ili waludi Tena jera lakini sjui Kama sababu itakuwa hiyo
 
Duuh!!!
 
Hivi naomba kuuliza kati ua jawa nani anachangia zaidi maisha ya jela kuwa magumu Nyapara,Askari magereza,wafungwa wakorofi na wababe,pia ninasikiaga kuna mtu anaitwa kiherehere huyu ndio nani huko jela
1)nyapala,na kielehele, ndiyo hufanya jera kuwa mgumu askali Hana shida ukiwa jera labda utishie kutoloka

2) kielehele huyu nimsaidizi wa nyampala au mnoko/mkuda wa nyapala na tabia zake nikama jina lake linavyo itwa
 
1)nyapala,na kielehele, ndiyo hufanya jera kuwa mgumu askali Hana shida ukiwa jera labda utishie kutoloka

2) kielehele huyu nimsaidizi wa nyampala au mnoko/mkuda wa nyapala na tabia zake nikama jina lake linavyo itwa
Mbona Askari nasikia wanapiga sana virungu na wababe haswa kuna mzee alitoka jela akawa anaalalamika miguu yake imelegezwa kwasababu ya marungu ya askari
 
Umenikumbusha kuna brother mmoja kazini kwetu alipata kesi ngumu sana akakaa kama siku 29 ndani. Alivyotoka akawa anasema, asee mdogo wangu ukiskia mtu anamtishia mwenzie kwamba nitakuua nikafungwe usimjibu wala kuingilia ila nenda shemu tulivu muombee sana huyo jamaa.
 
Inaonekana ni hatari.
 
Mie nakuloga yani naweza kuwa radhi kuuza kila kitu changu kwa ajili yako
 
Mbona Askari nasikia wanapiga sana virungu na wababe haswa kuna mzee alitoka jela akawa anaalalamika miguu yake imelegezwa kwasababu ya marungu ya askari
Askali hupiga ukuiwa kituoni hasa Kama unakataa kosa hukupiga ili ukubali lakini sio jera Ila kingine kinacho legeza Sana miguu hasa magoti jera Ni Ile kuchuchumaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…