Yajue Maisha yalivyo jela

Unaweza kuishi vyema na ukajikuta pale kwa wema japo ni Bora ufike pale kwa wema angalau uta slimika
Pole sana ndugu yangu MUNGU MWENYEZI awasaidie wafungwa wote

Niliwahi kwenda jela lakini nilipeleka rozari pamoja na vitabu vya Sala sikujua kama na sabuni ni muhimu anather day uchumi wangu ukifunguka nitaelekea huko kupeleka hivyo vitu

Asante sana
 
De Opera mshamba_hachekwi tukienda jera tunatoboa kweli

Hakika ukifanya hivyo uta balikiwa Sana Tena kabla hauja wapelekea tembelea kwanza

Utawaona wanao hitaji msaada hata hata kwa kuwa angalia tu

waulize majina yao Kisha wapelekee mkuu uta barikiwa
 
Kongole mkuu kwa kutoa na kuweka kwa uwazi zaidi na uhalisia wa jinsi mambo yalivyo huko. Mwenye masikio na asikie.
 
Kwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…