Yajue Maisha yalivyo jela

naona L na R ni mgogoro

Huko jera nyapala nae analala Mchongoma? Au anakuwa na sehemu maalum ya kulala?
Huo ubasha wanafanyia ktk mazingira gani?
Nyapala pamoja na wengine wenye kesi nzito nzito maisha yao ni rahisi huko jera japo bado wapo jera

Na kuhusu ubasha huwa unafanyikia chooni
 
Hivi megereza huwa hawapi hata uniform?
Kuna wafungwa Hawa huwa na uniform Tena moja tu Yani haijarishi atakaa mdagani hapo jera huwa nayo moja tu

Kwahiyo akienda shambani ikilowa atatembea nayo.hivyo hivyo labda ataifua ataikamua au kuianika na ataivaa hivyo hivyo

Lakini pia kwasababu ya kuwanayo moja Basi humlazimu kila jioni kuuwa chawa kwa vidore wano ishi humo kwenye hiyo uniform

Sasa Kuna wale mahabusu wale wanaokuwa labda walikatiza eneo walilo uwa mtu pasipo kujua

waka kutana na police waka sombwa

Kuna wale walio kuwa wamelala ndani mwao upenuni mwao wakauwa mtu pasipo wao kujua

Ile Wana amka hasubuhi wakakutana na Polisi Waka bebwa na pelelezi zinaendelea

na wamekaa hapo jera kwa mda mlefu

inaweza kuanzia miezi mpaka miaka mitano Hawa ndiyo ambao nguo huwaishia mkuu

Kumbuka jera hupewi uniform Kama haujakutwa nahatia na kuhukumiwa

Mfungwa ndiye hupewa uniform sio mahabusu
 
Hii kesi mbona ni ya madai na sio uhujumu uchumi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…